GHAFLA RAIS MAGUFULI AIBUKA KITUO CHA POLISI BILA TAARIFA, ASKARI ZAMU WASHTUKA MNO!

Share
Embed
 • Published on Sep 11, 2019
 • GHAFLA RAIS MAGUFULI AIBUKA KITUO CHA POLISI BILA TAARIFA, ASKARI ZAMU WASHTUKA MNO!

Comments • 242

 • Nuru Abdullah
  Nuru Abdullah 23 days ago

  Jamani mm ninavyopenda utenda kazi wa rais pombe magufuli mpaka natamani niwe raia wake nampendaaaa sio kwetu kenya watu wanadhulumiwa hatuna wakututea wenye hela ndio wenye haki mungu akuweke utawalani bila kupingwa watanzania muwe na akili musitake rais mwengine kama nirais mumempata hongerani

 • Big wapritoria
  Big wapritoria 26 days ago

  Wechez kweli boya

 • Hussein Adam
  Hussein Adam 29 days ago

  Unaongea sana

 • Yahya magumbo
  Yahya magumbo Month ago

  unaongea sana mpaka huyo rais hatujackia alicho kisema

 • Thadey Minde
  Thadey Minde Month ago

  Amana hispital

 • Oman Foxooo
  Oman Foxooo Month ago

  Angetembelea buza shule ya msingi amani

 • Launey Onelove
  Launey Onelove Month ago

  Ashitukize ofisi ya mkuu wilàya Morogoro

 • Hasanoo Dangote
  Hasanoo Dangote Month ago

  Tunamtaka mh atembelee kisiwa cha mafia

 • Rajabu Ympili
  Rajabu Ympili Month ago

  Atembesendo polis kitengocha trafik pkpk zetu zipokibao kwa kupewa kesizauongo zakusingiziwa

 • Mtonga Mohd
  Mtonga Mohd Month ago

  Unaongea sana tunataka kusikia raisi anaongea nn mfyuuuu

 • Ami Abillity
  Ami Abillity Month ago

  Aje gairo mjomba magu jamani

 • Richard Ibrahim
  Richard Ibrahim Month ago

  Hospital

 • Dr Joshua Mandundo
  Dr Joshua Mandundo Month ago

  Usiwe unatusimlia tunataka tusikie wanacho ongea

 • Deodat Shayo
  Deodat Shayo Month ago

  sio utani mimi ningenda mheshimiwa afanye ziara hiyo wilaya ya kilosa mkoa morogoro

 • Jacob Makono
  Jacob Makono Month ago

  Huyu Dada alipandishwa cheo hujasema hilo..ungeacha sauti ya mheshimiwa Rais isikike siyo yako!you've wasted my mb's!

 • Musi Cosmas
  Musi Cosmas Month ago

  tanesco na bank nmb

 • tanz Intergral
  tanz Intergral Month ago

  We jamaa hufai kuwa mwandishi,kwani hulengi lengo unapenda kuporojeka mno,,,kwann usiache wahusika wasikike kile wanaongea,kwani walitumia kichina?sasa ulikuwa unatangaza habari au unaleta porojo,,Huyo umetuwekea kiwingu kumsikia huyo muhashimiwa anachofanya,tunapenda sana kuona live yake, ww umepest,,yaani umeharibu kabisa,naomba kama inawezekana hii crip irudie upya bila kuporojeka

 • Freddy Mello
  Freddy Mello Month ago

  People's president!!

 • JINI MAHABA
  JINI MAHABA Month ago +1

  Ungekausha tu atusikii kinachozungumzwa

 • Abdullah Rajabu
  Abdullah Rajabu Month ago

  Unaongea Sana hujuhi

 • Idris Simba
  Idris Simba Month ago

  Bora atembelee Traffic akiwa kwenye bus au IT zile gari zinazokwenda kusajiliwa nacho jirani aone wanavpokea rushwa na kubambikia madereva makosa .

 • Stewart Millanzi
  Stewart Millanzi Month ago +1

  Big up Mr. President. I like it. That makes you a great leader.

 • emmanuel william
  emmanuel william Month ago

  Hakuna hata umbali aje kituo cha polisi chang'ombe kituo kuandikisha vitambulisho vya taifa vinauzwa hadi laki tano kama una haraka ya kusafiri mambo ni moto.

 • charlzchanta
  charlzchanta Month ago

  Patrick temba tunataka tumsikie mkuu anachoongea xoo we Acha kubweka

 • eustache segari
  eustache segari Month ago

  mimi naona ni sawa anavyo fanya simbaya kabisa sema na mimi nime penda vile anavyo fanya kabisa

 • GODFREY LUPINDU
  GODFREY LUPINDU Month ago

  sijasikia ni nini kimeongelewa hapo
  umeongea wewe tu..
  next time, badilisha hii

 • EGIDIUS KATO
  EGIDIUS KATO Month ago

  Kama ni ziara za kustukiza usiku ndio mzuri,nilipeleka mama mjamzito kwenye zahanati 1 wauguzi hawakumhudumia nikampeleka kituo cha afya cha dini mheshimiwa angetembelea kituo hicho usiku,mmmmmh.

 • Abdul Kibaya
  Abdul Kibaya Month ago

  Babu naona umeamua kuongea wewe,,,Kuna maana gan ya kuangalia hiyo video sasa? Ungejirecord tuu tujue moja....Yaan hakuna mtu ata subscribe kwa mtindo huo kam hutojitambua

 • sakina ripambila
  sakina ripambila Month ago

  Aende nida akaone jinsi ya vitambilisho jinsi wananchi wanavyopata shida kuh upatikanaji Wa citambilisho

 • Kulwa James
  Kulwa James Month ago +10

  Tatizo jamaa unabweka sana, tunashndwa kuskia maongezi ya mheshmiwa! Siwez subscribe ugoro huu na nina dislike

 • Labano Mselewa
  Labano Mselewa Month ago

  aje songea kutembelea maktaba zote aone na changamoto zake

 • Masha Mohamed
  Masha Mohamed Month ago

  aje mbande kuna madudu kibao

 • King Kim
  King Kim Month ago

  Tatz hakijasikika alichokiongea mtukufu rais zaidi ww kuelezea kitu ambacho tunakiona

 • Harun Hussein
  Harun Hussein Month ago

  kizaa zaa

 • Ndaro Gamba
  Ndaro Gamba Month ago

  Aende mortuary na vyoo vya stand za mabasi mn tunataabika sana huko😯

 • Anko Monyo
  Anko Monyo Month ago

  Unaongea mwanzo mwisho unaboa

 • CHUSSE BOY WCB
  CHUSSE BOY WCB Month ago +1

  Kumbe magu anatumia mkono washoto kama Mimi 🔥🔥🔥🔥🔥🙏ndomanaaa nampenda sanaaaaaa

 • Julius Mrimi
  Julius Mrimi Month ago

  Sawa, lkn mbona mmei"flip" video? Rais Magufuli hatumii mkono wa kushoto na nikaanza kuona na askari wake pia ni kushoto tuu.. ndio mana nikaanza kushangaaa😬😬

 • joseph wafula
  joseph wafula Month ago

  Sauti unayo kaka!!

 • Khafidh said
  Khafidh said Month ago

  Mh Rais nimekukubali chapa kazi Mungu akuongoze Rais wa Watu.

 • Tyrone Mofekeng
  Tyrone Mofekeng Month ago

  Ashiyukize tunduma boder.

 • babuu maeda
  babuu maeda Month ago

  Mahakama kuu za ARDHI, ATEMBELEE PIA

 • Dotto maboga Tage
  Dotto maboga Tage Month ago

  wewe Lyimo unakuwa na maneno Mengi mno

 • Banda Bandasca
  Banda Bandasca Month ago

  Kiwanda cha MTIBWA itakuwa good

 • Marco Mosses
  Marco Mosses Month ago +1

  MAGUNGA hospital Korogwe-Tanga panamuhusu manesi hawaeleweki

 • Damas Wikoko
  Damas Wikoko Month ago

  Kituo cha kawe

 • Sabena Maguha
  Sabena Maguha Month ago

  atembeleee kigoma

 • soud master
  soud master Month ago

  Mwanza kituo cha Kirumba police

 • Marry Benjamin
  Marry Benjamin Month ago

  Ingepeza zaidi kama ungetuachia tukasikia mazungumzo yao.

 • Chaerz Jamie
  Chaerz Jamie Month ago

  sasa sisi tunataka kusikia alichokisema but still still unaongea peke yako come on.,,,,,,,

 • Lazaro Kasoli
  Lazaro Kasoli Month ago

  Umenikela kunisimulia wakati mheshimiwa anaongea siwezi ku like kwa sababu ukulasa wenu hamjui nini mnafanya

 • Juma Nkuba
  Juma Nkuba 2 months ago

  Unekela bana mtangazaji siumwache aongee yeye tuskilize

 • Samson Magwisha
  Samson Magwisha 2 months ago

  Uyu mtangazaji in kiazi kitamu

 • Opium Taavi
  Opium Taavi 2 months ago

  Hawa jamaa wa surrender wanakula rushwa sana

 • Bafa Qurish
  Bafa Qurish 2 months ago

  Afanye ziara kwenyee hi media yako kwasababu unaongeaa sanaa hatujaskia president anaongea nini na hawo police unalomonii nyingiii sanaa kamaa kondaa

 • Mweta Jackson
  Mweta Jackson 2 months ago

  Nikweli kabisa lazima utulize kichwa ikicheza unaharibu.

 • Bongo Msasa
  Bongo Msasa 2 months ago

  Pumbavu kabisa.. maneno mengiiii unahadithia sana mpaka kero.. unapoteza uhalisia.. kinachotakiwa kuhadithiwa ni story za picha sio video.. JIFUNZE

 • Lelo Mwase
  Lelo Mwase 2 months ago

  Ningefurahi sana angetokea mahospitali kwa kushtukizia aone utendaji kazi wa manesi na madokta maana wagonjwa wanateseka wauguzi hawapo serious kikazi

 • Mussa Shiganga
  Mussa Shiganga 2 months ago

  Sasa comments Za nn Kwani anaongea kingereza simgeacha tukasikia kasema nn?

 • Steign cx
  Steign cx 2 months ago

  Mbn hamjasem kuhus kupandishwa cheo nyie VP alaf tusubscribe uongo au sio