Christian bella Feat AY& Mwana FA | PETE | Official Music Video

Share
Embed
 • Published on Jul 7, 2019

Comments • 978

 • Bebycand Kim
  Bebycand Kim 6 hours ago +1

  wote wamefany vizur lkn ay amenisaplaiz sana

 • hm dm
  hm dm Day ago

  ay na mwana fa jamn mpk raha

 • Rebeka Mwakatobe

  Yan hii kolabo inanikosha jaman Yan Ni kiboko..

 • Max Maxmo
  Max Maxmo 4 days ago

  King of the best mellody is back

 • Sadick Mwakambonja
  Sadick Mwakambonja 4 days ago

  Kiukwel christian bella ww ndiyo msanii wangu bora Tanzania

 • Mwanaidi Hamisi
  Mwanaidi Hamisi 5 days ago

  Nice song 👌👍👌👌👍👍👍 Kaka was Congo 👌 natanzanie

 • Jay Dallu
  Jay Dallu 9 days ago

  ukiskia mtu anakumbia kuna miziki ya wakubwa bs mziki wenyewe ndo huu

 • ZUBERI KISONGA
  ZUBERI KISONGA 9 days ago

  Ngoma kali sana cha ajabu views hata 1m haijafika majimbo ya ajabu unakuta 10m nw kwl life is not fair🤗

 • Winfrida Kobero
  Winfrida Kobero 13 days ago

  Nice song

 • Sandra Musonye
  Sandra Musonye 13 days ago

  Huu ndio wimbo ambao nitawalk down the isle siku yangu ya harusi hata kama ni miaka 5 zijazo

 • Jumanne Khalifa
  Jumanne Khalifa 14 days ago

  yan kitu nairudiarudia haichoshiii

 • Jumanne Khalifa
  Jumanne Khalifa 14 days ago +1

  Bella ni hatariiiiiiiii

 • Daud Pius
  Daud Pius 14 days ago

  Uko sawa

 • Ramadhani Michael
  Ramadhani Michael 14 days ago

  Huyu jamaa ni moto kwakweli

 • juma lucas
  juma lucas 16 days ago

  NamVishal Pete,,

 • Jafari Pilly
  Jafari Pilly 17 days ago

  Namvua Pete me!

 • Lucymay Elias
  Lucymay Elias 18 days ago

  my wedding song 💞💞😘😘

 • Nelson Kavuta
  Nelson Kavuta 19 days ago

  Bella nimeshakupa uraia mamae njoo uhamiaji uchukue passport yako ya 🇹🇿. Umetisha sana brother.

 • Maliki Chamiwa
  Maliki Chamiwa 23 days ago

  bonge moja la wimbo yan umeimbwa na wazeee wazimatu wakongwe.

 • Mahundi Yukundusi
  Mahundi Yukundusi 24 days ago

  nice song kaka

 • paul kessy
  paul kessy 25 days ago

  Visokolo kwinyo wwnye roho mbaya
  Perekeni habari,,
  Daaaaaaaaa ngoma Kama izi ndo za kumwekea malikia wangu ..popote ulipo wangu ntakuvisha Pete malikia wangu,z,

 • Noely Nelson
  Noely Nelson 27 days ago

  big song

 • hellena michael
  hellena michael 27 days ago

  Uko vzr

 • anld Nkpl
  anld Nkpl 28 days ago

  bella bella bella belaaaaa wewe ni shikamoooo👏👏

 • Mpendahakii Wallpapers

  Falsafa 👏👏👏

 • emmaculata john
  emmaculata john 29 days ago

  Real love

 • Muu Silver masunga
  Muu Silver masunga 29 days ago

  I see kaka mkubwa umetishaa kinoma sauti iko kamili gado nyumbo. Zur

 • davis akumu
  davis akumu Month ago +2

  bro..big up..big time..big things ..big tunes..kazi safi sana

 • emmanuel andrew
  emmanuel andrew Month ago

  Christian bella king of the best melody's mwana falsafa ila AY UMEUA PALE KWENE INGEKUA AMRI YANGU HATA KIFO KISINGETUTENGA SIONI MWINGNE ZAID YANGU ME NA WW MAISHAAAAAA

 • Kilembe wakondo Eca

  Tanzania mzima hakuna mwana msani kama Bella hachana na vurugo za wengine ila huyu hakunaga mpizani

 • Henry Joseph
  Henry Joseph Month ago

  Christian bella unanifanya namkumbuka Mke wangu anety uko WAP anety wangu daa

 • kiragu antony
  kiragu antony Month ago

  Vocally.... Wacha tu

 • Chrispin Godfrey
  Chrispin Godfrey Month ago

  Namvisha Pete

 • TITHO BAPTIST
  TITHO BAPTIST Month ago

  Nc song

 • mahwaga kasegere
  mahwaga kasegere Month ago

  Hapa 234 🇨🇩 naiukubali sana kama unaikubali gonga like

 • Machwa Hanson
  Machwa Hanson Month ago

  Ay Fa

 • Mwinyi Khatibu
  Mwinyi Khatibu Month ago

  oi makini xn

 • Dangote Sam
  Dangote Sam Month ago

  One of the best hits of 2019 🙌🙌

 • Kelvin Jonathan
  Kelvin Jonathan Month ago

  Naupenda mziki wa huyu mshenzi...... Daaah !!!!

 • olivier munguakonkwa

  Courage Kaka bella

 • Jimmy Richard
  Jimmy Richard Month ago

  saluti kwako bella

 • Armel Madogo
  Armel Madogo Month ago

  Molah baba pardon tulindee🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

 • Yoeli Isaka
  Yoeli Isaka Month ago

  Nakukubal xana mwanangu bela

 • Kaiza Given
  Kaiza Given Month ago

  Hii nyimbo unaweza ukaombea mkopo Black..

 • Sikhu Sengerema
  Sikhu Sengerema Month ago

  Nyimbo iko poa sana

 • faustin musonere
  faustin musonere Month ago

  bad respect from Bujumbura

 • Jenesi Mushi
  Jenesi Mushi Month ago

  Huu wimbo konkiii narudia Mara 70

 • Miraji Kinuke
  Miraji Kinuke Month ago

  Raisi wa masauti....Ngoma kali sana

 • CHOUETTE BONZENGA
  CHOUETTE BONZENGA Month ago

  Nice song tokoos

 • BeaTrice Mk
  BeaTrice Mk Month ago

  🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩⤵️⤵️⤵️⤵️

 • BEKA GRAPHICS
  BEKA GRAPHICS Month ago

  KAMA NA WEWE UNAHITAJI SUBSCRIBERS KM MIMI LIKE HII COMMENT KILA MMOJA ASUBSCRIBE KWA MWENZIE TUJIINUE WENYEWE.

 • BEKA GRAPHICS
  BEKA GRAPHICS Month ago

  JAMAA UNAJUA HADI KERO

 • Albert Mwaijega
  Albert Mwaijega Month ago

  nimeukubari huu wimbo sana

 • Steven Robert
  Steven Robert Month ago

  Wakongo nawakubali sn wanajua kuvaa kawafunika ay na fa

 • Justin Ng'ondya
  Justin Ng'ondya Month ago

  nakubali bella

 • Goodlucky Uisso
  Goodlucky Uisso Month ago

  Hii nyimbo ni fayaaaaaa👏👏👏👏👏👏👏💕

 • Tanzanian girl
  Tanzanian girl Month ago +1

  💃💃💃💃bonge la ngoma aiseee

 • B'coz Henry
  B'coz Henry Month ago +3

  Nilidhani mzee wa "iyoo!" anasauti ya muziki LAKINI LEO NAKATAA RASMI. Bella ndio no.1 artist kwa kuchezea vocal lake kama anavyotaka yeye, dah ni fundi!

 • Ramsey Bayoma
  Ramsey Bayoma Month ago +1

  Napana free “likes” ata kama ume comment utumbo...😂😂😂

 • ramadhani abdulli
  ramadhani abdulli Month ago

  Good songs from c...bella