VIDEO: Hadi huruma HAMISA MOBETTO amvimbia SHABIKI bila AIBU

Share
Embed
 • Published on Jul 14, 2019
 • ...........................................................
  Contact Us : 0742447854
  -------------------------------------------------------------------------------
  Instagram rickmediatz?hl=en
  ---------------------------------------------------------------------------------
  Facebook web. rickmediatz
  ---------------------------------------------------------------------------------
  Website www.rickmediatz.com
  -----------------------------------------------------------------------------------
  #HAMISAMOBETTO #
 • EntertainmentEntertainment

Comments • 55

 • 中川アーシャ
  中川アーシャ 6 months ago

  😘💞💖👍🙏

 • Husna John
  Husna John 6 months ago +1

  Hamisa km nguva martini kadinda usiachie huo mkono

 • Flora Mbwambombwambo
  Flora Mbwambombwambo 6 months ago

  Hamisa achazarau haohao ndio mashabiki zako duniani tunapita

 • mauwa Bijoux
  mauwa Bijoux 6 months ago

  Hamissa mi nishabiki wako ila kitondo cha kumpuuza uyu mama umenikera haswa kama shabiki wako ungemjibu ungepungukiwa nini tabia mbaya mama wawatu kaja na mashamla shamla anakuja kukusalimia unavimba acha kufanya hivyo leo hii kama unavimba ujue kama kunawatu wako nyumako

 • SPONSOR
  SPONSOR 6 months ago

  MASTAR WA KIBONGO

 • Maryam Ashmrei
  Maryam Ashmrei 6 months ago

  Shikamo pesa huyo bodigadi jamani 😂😂😂😂 kazi U nayo ya kushika kitambara alo'sahau fundi kukata😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole

  • Maryam Ashmrei
   Maryam Ashmrei 6 months ago

   @Husna John 😂😂😂😂😂😂😂sawa

  • Husna John
   Husna John 6 months ago

   Maryam Ashmrei wivuuuuu huo we tambara la kijora liko wapi

 • Nasra Malapo
  Nasra Malapo 6 months ago

  Pesa isimfanye kudharau watu

 • Ebby Mbao
  Ebby Mbao 6 months ago

  Missa apendi udaku wenu

 • Fisadi kiwembe
  Fisadi kiwembe 6 months ago

  😁😁😂

 • Haitham Rubea buhet
  Haitham Rubea buhet 6 months ago

  co kosa lake amevurugwa umo ndani na ambar jaman hhhhh nimemuonea huruma walah

 • Mjukuu Maiige
  Mjukuu Maiige 6 months ago

  Anapoteza mashabiki kwa kuonekana anaringa sasa

 • Yahya Ibrahim
  Yahya Ibrahim 6 months ago +1

  Mashabiki wote hawana akili inakuaje unamshobokea mtuh hapa duniani kila mtuh namaisha yake achana nae mtuh hamjuani ndeo wala shikio unakwenda hamissa mambo uo ujinga uspoteze mdah kuleta shobo kwa ao wanaoitwa star hata wewe ukitaka kuwa star unakua vipi yeye awe wewe usiwe nanyote binadamu

 • Sophy Kasichana
  Sophy Kasichana 6 months ago +1

  Mwarabu fighter 😂😂😂

 • man jaruu jr
  man jaruu jr 6 months ago +2

  ilaa tz ghafla tu ani mnaanza kumtengeneza mtu ghafla anakuwa ma harufu kunuka ghafla anaanza kuringa kama atajizika ani MASOGANGE yuko wapi??kazi umalaya tu na mtakufa kama kuku asee

 • Nuru Dovino
  Nuru Dovino 6 months ago +2

  Masikin huyudd kaenda kumsalimia kwagari harf hajajibiwa looh pesa mbaya

  • Husna John
   Husna John 6 months ago

   Nuru Dovino wabongo wanafiki anataka aitikiwe salamu kesho huyo ndio wakwanza kumponda

 • Rachael Njoki Ndichu
  Rachael Njoki Ndichu 6 months ago +1

  Punguza uwaduwi jamani muda nimuchache aoa Duniani

 • Saidah licious 254
  Saidah licious 254 6 months ago +7

  Akitaka kumuona aende Mobetto styles🙄🙄🙄🙄

 • Salome George
  Salome George 6 months ago +1

  Hivi mwendo anavo tembea mbona wa maringo?Hapendezi kamwe..anajaribu kuiga Zari de boss lady.. Mambo yako iliisha chiiiii...Tanasha new brand from kenya

 • carol Praise
  carol Praise 6 months ago +2

  Mama dylan hio nguo.daah😆😆

 • Thamiyuu Cute
  Thamiyuu Cute 6 months ago

  Mkome shobo nawasanii

 • Hassan 001. m
  Hassan 001. m 6 months ago +1

  Wow misa

  • Hassan 001. m
   Hassan 001. m 6 months ago +1

   @Aziza Sikalwani umeonae

  • Aziza Sikalwani
   Aziza Sikalwani 6 months ago

   Misa nakupendaga ila umeniboa leo mtu anakufata Kwa upendo kukusemesha Una kaa kimya ? Kwani kujibu sh ngapi ? Usilewe umaarufu Misa kumbuka Njia yetu ni Moja na stairi ni Moja ya kurejea kwake Mola wetu

  • Matonya mh bora ukimwi kuliko kuliwa nyuma
   Matonya mh bora ukimwi kuliko kuliwa nyuma 6 months ago

   Kavaa gagulo mtume wangu

 • ashula musin
  ashula musin 6 months ago +2

  SSA kamvimbia nani hapo waandishi wahabar wanamfuata ili waanze kumuuliza habar za mond na tanasha Sikuiz hamisa hataki kelele

 • Mwanajuma O Mahundumla
  Mwanajuma O Mahundumla 6 months ago +3

  Hasira za ambalulu unatolea mashabiki? Jitazame

 • Nono Nono
  Nono Nono 6 months ago +8

  Angekua ni wema wala hata asingefanya hivo

 • Josephine Makungu
  Josephine Makungu 6 months ago +3

  lakini wanamonea uyu dada bona mzuri alafu ananga story mob

  • Husna John
   Husna John 6 months ago

   Josephine Makungu in you can't please anyone it's better to live your life don't trust anybody

 • first Name
  first Name 6 months ago +6

  Tatizo ukiwachekea wanakunya maneno ma chafu, hajafurahia kabisa kitendo alichofanya amber lulu kwa mtu mwenye brand yake.

 • A Fhd
  A Fhd 6 months ago +1

  😋😋

 • Delaya Nkeshimana
  Delaya Nkeshimana 6 months ago +4

  🤣🤣🤣eti misaaa🤣mambo😂kwani😂mama yako 🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂follow me @jonijooo89

 • ashura ussein ashura ussein

  Tatizo kanajivunaga sana🤣🤣🤣mshamba kama uyo misimwiti chefuuu😏

 • khadija khadija
  khadija khadija 6 months ago +10

  Hamisa sikuhiz unanenepa dada angu na unazid kuwa mzur

 • Kassim Rajabu
  Kassim Rajabu 6 months ago +3

  Shobo zimezidi mamaeeee

 • Husna Uthman
  Husna Uthman 6 months ago +2

  Wasikuzooo piga kaziii

  • Husna Uthman
   Husna Uthman 6 months ago

   @Omar Taty umefurahiiii

  • Husna Uthman
   Husna Uthman 6 months ago

   @Omar Taty vp my

  • Omar Taty
   Omar Taty 6 months ago

   @Husna Uthman 😀😀😀😀

  • Husna Uthman
   Husna Uthman 6 months ago

   @arwa MUQAIBAL asa walitaka achekeeeee tuuu

  • arwa MUQAIBAL
   arwa MUQAIBAL 6 months ago

   izo zinaitwa shobo dundo kiranga komo loh mpka aibu loh mie nongelia🤣🤣🤣

 • celine kanda
  celine kanda 6 months ago +11

  Munaulizanga nini misa, just leave this lady it's her life na hataki ushobo nowadays , love you misa

  • Keny Benjiz
   Keny Benjiz 6 months ago +1

   Mashabiki ndy wanaomfanya awepo hapo
   Huwa nawashangaa watu wanaowashobokea wasanii wanaowaletea nyodo Mashabiki wao....
   Binafsi mm simfagili star wa kibongo yyte

 • Faridah Ang'edo
  Faridah Ang'edo 6 months ago +5

  Kadinda sku hizi ndo manager wa mobeto?

 • salma othuman
  salma othuman 6 months ago +10

  Sasa anajiona kama nani kwa mfano 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • hata mim nimempenda bule jaman ametisha Kulekana
   hata mim nimempenda bule jaman ametisha Kulekana 6 months ago

   Mh siku hizi amisa kapanda chat huyo halafu kanenepa ndio hata mim nasemaga kanenepa kapendeza

  • hata mim nimempenda bule jaman ametisha Kulekana
   hata mim nimempenda bule jaman ametisha Kulekana 6 months ago

   Ukifanya hivyo Inakuwa kama unamzalilisha mtu aliyosema ingekuwa wema asingefanya hivyo Wala hajakosea na ndio mana wema ni kipenzi cha watu amisa nampendaga hila Kwa hapo amekosea na ni best pia wa mtot wa ant yangu naye alikuwaga modo walikutana huko huko kwenye umodo.

  • hata mim nimempenda bule jaman ametisha Kulekana
   hata mim nimempenda bule jaman ametisha Kulekana 6 months ago

   Haha ni kweli Lakin mim ndio mana sipendagi kushobokeaga wasanii kwasababu ninawajuwa tabia zao ant ezekiel yupo hivyo hivyo hapendagi shobo hila Salam anaitikia halafu hana story amemaliza hata Kuna Kak kamera man alikuwaga anasemaga hivyo ant hapendi shobo mana walishawai kukaa wote kambin kuwa siliasi Lakin Salam za mshabiki wako itikia

 • Shefaa Shefaa
  Shefaa Shefaa 6 months ago +3

  Ndo tukome sisi mashabiki vibaya jani hamisa maisha karata 2