SADAKA ZA FREEMASONS...!!! UKWELI KAMILI.

Share
Embed
 • Published on Sep 21, 2019
 • #wasafi #TheStoryBook Kuanzishwa kwa Freemasons, Ukweli wa Kafara za Freemasons na Mauaji , na Kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Freemasons.
 • EntertainmentEntertainment

Comments • 1 315

 • Alamano Mligo
  Alamano Mligo Day ago

  Shetani anazdi kutawala mungu atusaidie

 • Esther Wangeci
  Esther Wangeci Day ago

  I knew wasafi media will all be about satanism. Do u notice how he is glorifying devilworshiping?

 • Amad Dee
  Amad Dee 2 days ago +2

  Wangapi wanaamini anamtetea diamond kwa vile nayeye yupo huko,asije akaacha kazi kwakuisemea vibaya freemason

 • Salama Kibuda
  Salama Kibuda 2 days ago +2

  Tumuongope mungu jaman

 • Rashidi Mayengo
  Rashidi Mayengo 2 days ago

  Yanaukweli mambo hata?

 • estherminnah Boaz
  estherminnah Boaz 2 days ago +1

  Freemasons imani za kishetani usitudanganye wewe

 • jonathan mshambala
  jonathan mshambala 4 days ago +1

  Doh..usiende huko bro.

 • Omary Mahamudu
  Omary Mahamudu 5 days ago +1

  acha kuzungmzia vitu usivo vijua suleiman alikua mtume wa allah ukome

 • haroon mdou
  haroon mdou 7 days ago +1

  Tunaeangalia January 14 gonga likes apa tusonge mbelee na chama letu la wasafi

 • tonny moselu
  tonny moselu 7 days ago

  Wa 2 wa frimason wanatumikiya lusuffa

 • Jacob Elias
  Jacob Elias 9 days ago +1

  Wale tunao tamani kujiunga na frimason ila tunaogopa gonga like

 • Jean Jimmy
  Jean Jimmy 9 days ago

  Hee ndugu yangu mtangazaji anaisiki Freemason amaunajua? Kujuwa siri tena urudi kutulezs! Mmm hayo masihallah.

 • sarah yusufu
  sarah yusufu 12 days ago +1

  KAMA UNAAMINI MUNGU NI MWEMA NA NI MKUU WA WAKUU HAKUNA WAKUFANANISHWA NAYE POPOTE PALE COMMEN AMEN 2020 FRIMASSON HAWATA PATA NAFASI

 • Grace Grace
  Grace Grace 12 days ago +1

  Mtafsiri Mungu akulinde

 • Charles Marwa
  Charles Marwa 13 days ago

  Marekani

 • Elia Munuo
  Elia Munuo 13 days ago

  Mtiga uko vizuri kaka

 • July Paul
  July Paul 13 days ago +1

  Kama unasoma comment huku unaskilza book story tujuanee

 • Samirah Amasha
  Samirah Amasha 15 days ago

  Alhamdulillah Nimeyajua mengi kupitia hii cimulizi ya kaka MTIGA Mungu azidi kukuweka na kukupa Afya njema Uzidi kutujuza mengi zaidi Wallah🙏kule IG niujinga na makiki ya kila kukicha looo

 • Lucas Mhagama
  Lucas Mhagama 15 days ago

  *Kama unawasifia vile*

 • Ibrahim Were
  Ibrahim Were 16 days ago +1

  Leo sitaki likes nyingi, 200 zatosha

 • Severin Mmassy
  Severin Mmassy 16 days ago

  Nenda naukitoka ukajakutupa story nakupa milion

 • Amniramadhani Tz
  Amniramadhani Tz 16 days ago

  😢😢😢😢
  mungu tunusuru

 • Jefen Ggg
  Jefen Ggg 17 days ago

  Nakukubali Sanaa Kaka lakini pia utakapo jiunga unitafute na mm ikiwa tuu hakuna kutowa kafaraza watuu mhuuu

 • Dj Sule Tz
  Dj Sule Tz 18 days ago

  The Story Book Ni Noumah

 • Kelvin Mwakulega
  Kelvin Mwakulega 23 days ago +1

  Hii ni nzuri..,,

 • Vincent Nyangicha
  Vincent Nyangicha 24 days ago

  This is a damn lie

 • Renatus Mkama
  Renatus Mkama 24 days ago

  Nataka kujiunga na freemason nianzie wapi?

 • Elizabeth Ziga
  Elizabeth Ziga 25 days ago +1

  Mnaoomba like hizo like zina wasaidia nin au mnazipeleka wap

 • omary R john
  omary R john 25 days ago +1

  Mungu ndiye mtawala wa ulimwengu huu na yesu kristo ndiye babaayetu

 • Emmanuel Samangwana Jilala

  Mungu tushike mkono dunia imeisha

 • post alone
  post alone 26 days ago

  Kwa hio si we unafichua siri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

 • Samweri Joni
  Samweri Joni 27 days ago

  Hatari

 • Ramadhani Chilumba
  Ramadhani Chilumba 27 days ago +1

  Kipindi pekee nikifuatiliacho kwa ss

 • King Redfire
  King Redfire 28 days ago

  king Redfite J MOST

 • Habiba Ally
  Habiba Ally 28 days ago +1

  Sauti nzur Kama hiii tutapa wp tena ukienda huko ukafa je usiende

 • Ramadhani Mwanyumba
  Ramadhani Mwanyumba 28 days ago +3

  Mbona wengine wana Likes nyingi kwenye comments zao na wengine wana like moja, not fair

 • kroshan abduly
  kroshan abduly 28 days ago +6

  Jamani Allah utuepushe nahizi sheitwani amin kamaunasaport comment yangu Tonga riketujuane

 • Family Guy
  Family Guy 29 days ago

  Jina mungu si shinda.shinda ni unamaanisha mungu yupi?

 • FOC ENTERTAINMENT MEDIA

  Sauti yako imetulia

 • Dr Focus
  Dr Focus Month ago +1

  *Maisha hayawezi kuwa sawa ata siku moja*
  Wenzetu wakiamka asubuhi wanakuta mesej za wapenzi wao "My amka bac mi ucngz umeisha tangu saa tisa nakuwaza tu"*
  *Tulio single tunakuta meseji "Sajili laini yako kwa alama za vidole kabla ya tarehe 31/12/2019
  INASIKITISHA SANA!

 • Nick Murungi
  Nick Murungi Month ago

  This is nonsense.
  👎

 • Allen Opiyo
  Allen Opiyo Month ago

  Hizi likes ambazo hua mnaomba hapa hua zinawasaidia na nini ?

 • Andrew Ndomba
  Andrew Ndomba Month ago

  Kaka unawajua Suleiman wangap?

 • EL GIE
  EL GIE Month ago +1

  God has given us power to get rich. The problem what we don't understand we think it's satanic........Kwani Mungu hana nguvu za kubariki wewe? King Solomon wasn't a freemason!

 • Hashim Jafary
  Hashim Jafary Month ago +1

  Nakubali xana wasaf

 • Curtis Lugalia
  Curtis Lugalia Month ago +1

  Free my son. Mason is two words Mother and Son. Mother being the holder of knowledge n she teaches her son. Mother is Hiram Abiffs mother n Son is Hiram himself. Solomon is your mind n the temple is your body. Hiram is the energy within your body. 3 ppo that killed Hiram symbolises your ego. The whole story is alegorical designed to build man to his higher version.

 • Curtis Lugalia
  Curtis Lugalia Month ago

  The Freemason story is knowledge that was stollen from Black ppo the founders of civilisation.

 • Curtis Lugalia
  Curtis Lugalia Month ago

  Hiram Abiff was the black widows son.

 • RICKYLLOBBE
  RICKYLLOBBE Month ago +1

  Jamani duniani kuna mengi sasa ni wew tu uchague machache ili siku ya mwisho uwe na smile kwenye uso wako

 • Gideon Kalumbu
  Gideon Kalumbu Month ago

  MUNGU PEKEE ANAYEWEZA MAMBO YOTE YANAYOWEZEKANA,NA YASIYOWEZEKEKANA,NI MUNGU PEKEE ANAYEWEZA MAMBO YOTE HAYO...MILELE WA UMILELE, HUYO NDIYE MUNGU PEKEE.

 • Faraji Nyanje
  Faraji Nyanje Month ago

  We jamaaa weweee

 • Idris Naomi254
  Idris Naomi254 Month ago +4

  I AM ONE AND WE ARE EVERYWHERE.. talk with limit??🤟🏿

 • Belka Msafi
  Belka Msafi Month ago

  Mungu atabaki tu kuwa mfalme wa mbigu

 • Ben Pius
  Ben Pius Month ago +1

  Story ni nzuri Ila kusema kuwa freemansons wanamwamini Mungu nakataa kwani wafuasi wake wengi wanajipambanua Kama Mungu wao ni Lucifer so usituaminishe vitu vya ajabu brother

 • Tunakufahamisha Tv
  Tunakufahamisha Tv Month ago

  Mtigaaa... nipe No# yao massons😁😁 nikaletee habariii...

 • martin Kauma
  martin Kauma Month ago

  Mungu atabak kuwaa Mungu

 • Issa Ibony
  Issa Ibony Month ago

  Ama sulmam aliyakut hyo mapramd ama vp embu njoo najibu me naona kila mtu anaongelea anavyo ona tu ama nvpi?

 • Issa Ibony
  Issa Ibony Month ago

  Ivi hilo horof Lamar na yale mapermd ymisr niyapi yalitangulia kujengwa?maana wanasema mpaka leo hawjui nani alijenga yale mapramd yamisr wla Yale yasudan hawajui nani alijenga vp hilo liwe nilakwnza na akajulikn alojena hapo uje najibu kamil

 • Rizi wani
  Rizi wani Month ago

  Saf

 • young genious
  young genious Month ago +1

  😁😁😁😁yuko sawa kiasi....karibu kwenye ulimwengu wetu...