MAAJABU YA MSITU WA AMAZON / UNATISHA / MITI INATEMBEA / NYOKA WA AJABU

Share
Embed
 • Published on May 4, 2019
 • #TheStoryBook Wiki Hii Itakusafirisha hadi kwenye msitu wenye maajabu, msitu mkubwa zaidi duaniani, msitu wa Amazon.
  .
  Unafahamu Huhusu miti ya msitu huo ambayo inaweza kutembea kama binadamu ? Vipi kuhusu mijusi inayoweza kutembea juu ya maji? na maji ambayo yana chemka kama yapo jikoni ?
 • EntertainmentEntertainment

Comments • 902

 • Chwabizo Bk
  Chwabizo Bk 16 hours ago +1

  Wazungu bhn.. hapo alitaka kuvunja rekod huyo

 • Chwabizo Bk
  Chwabizo Bk 16 hours ago

  Wazungu bhn.. hapo alitaka kuvunja rekod huyo

 • Baraka Kimario
  Baraka Kimario Day ago

  naichukia wasafi lakn kazi ya huyu jamaaa hainipiti

 • Joy Shirima
  Joy Shirima 2 days ago

  Mungu atukuzwe kwa uumbaji wake

 • Aziza Longo
  Aziza Longo 2 days ago

  "

 • Nadhifa Juma
  Nadhifa Juma 3 days ago

  Majani ya amazonika duuuuuh

 • Dua99 Kiba
  Dua99 Kiba 3 days ago

  Yap

 • Andii Nangachake
  Andii Nangachake 3 days ago

  Allah Akbar

 • Francis Japan
  Francis Japan 3 days ago

  Wasafiiiiiii

 • Abdulqadir Swaleh
  Abdulqadir Swaleh 3 days ago

  Yan kiumbe hatari dunian n mwanadamu pekee

 • Abdulqadir Swaleh
  Abdulqadir Swaleh 3 days ago

  Huyo jamaa alie oga ktkt y mto amazon ni kichaa ndio maana msomi mmoja huko oxford alisema the most dangerous creture is the human

 • Hassan Matata
  Hassan Matata 3 days ago

  ALLAH NDIE MUUMBAJI WA VYOTE

 • Abd Khalidi
  Abd Khalidi 3 days ago

  Daaaahhh c mchezo

 • Joyce Leonard
  Joyce Leonard 4 days ago

  Acheni mungu aitwe mungu

 • mohammed khalfan
  mohammed khalfan 5 days ago

  Wow

 • elia lucas
  elia lucas 5 days ago +3

  halafu bado kuna binadamu watashindwa kuamini juu ya uwepo wa mw mungu

 • Alpha Issaya
  Alpha Issaya 5 days ago

  Safi sana wasafi media

 • Norah Mangah
  Norah Mangah 6 days ago

  Mjusi yesu xx hapo ndio nimekwamia😂😂😂😂

 • David Simkanga
  David Simkanga 6 days ago

  Duh hatari hii

 • Nyabusunga Mtimanwa
  Nyabusunga Mtimanwa 6 days ago

  Iyo ni kweli ama

 • kenny Wizz
  kenny Wizz 7 days ago

  Amazon

 • Mary Hakil
  Mary Hakil 7 days ago

  Dah nakubal sana kaz zenu

 • Ramadhani Chilumba
  Ramadhani Chilumba 8 days ago

  Mweh? Mungu fundi walah

 • MARTHA MASENGWA
  MARTHA MASENGWA 8 days ago

  Nimekubali. kumbe kuna vitu vya kufanya kuingia You Tube sio kila siku wema sepetu

 • Rayvanny Vannyboy
  Rayvanny Vannyboy 8 days ago +3

  Wasafi mumewezi gonga like kama kweli

 • Beatrice Manga
  Beatrice Manga 9 days ago

  kwenda uko.hii ni video ya man eaters

 • Dulla Mudi
  Dulla Mudi 9 days ago

  Kwel una maajabu makubwa

 • Dinisha Maurya
  Dinisha Maurya 9 days ago

  Amazon forest is my journey dream'!

 • Jacinta Nyambura
  Jacinta Nyambura 10 days ago +3

  Your explanation is damn good 😍😍😍😍😍😍😍part two please 😋😋

 • Mwemezi Dickson
  Mwemezi Dickson 10 days ago

  we bwana unatia chumvi, mi nimeishia form four lakin najua sbb ya maji ya asili kuchemka we wasema hata ma professor hawajui

 • ncb-g vevo
  ncb-g vevo 10 days ago

  Kiyo unajiona ,acauongo

 • ncb-g vevo
  ncb-g vevo 10 days ago

  Na Congo Kinshasa tuna maji moto

 • patience riziki mulei
  patience riziki mulei 10 days ago +11

  Kama unakubali Kuwa Mungu ni designer(mbunifu) mkali gonga like.

 • Ferouz masoud
  Ferouz masoud 11 days ago +1

  ASANTE STORY NZURI NA UNAJUWA SANAA KUCMULIA

 • hajy Lyanga
  hajy Lyanga 11 days ago

  Apo saw

 • joyce mallya
  joyce mallya 11 days ago

  Best tour guide every nimependa sna story hii

 • Judith Mgina
  Judith Mgina 11 days ago

  Hapo kweny siafu akikung'ata km risasi broo Mmmmmmmmh sidhanii ujuii maumivu y risasiii

 • SHEIKH AHMAD محمد
  SHEIKH AHMAD محمد 12 days ago

  Wacha zako yesu amefanya nini

 • Mohamed Chambuli
  Mohamed Chambuli 12 days ago

  The history book...my desire

 • Oska Mapile
  Oska Mapile 12 days ago

  Dohoo

 • Cnn Mitfol
  Cnn Mitfol 13 days ago +6

  Ndugu yangu, unapokimbizwa na nyoka wa anaconda usijifiche gizani 😂😂😂😂JIHADHARI.. maana nyoka huyu huona vizuri gizani 😂

 • Eddah Mwambande
  Eddah Mwambande 13 days ago

  urefu wa Amazon sawa na safari 6 DSM-MZA:Kwa ndege au Treni?Reli hupita Mor,Dom,Tbr na Shy wakati kwa ndege unakatiza mstari ulionyooka!umbali hutofautiana sana.

 • John Nicola
  John Nicola 13 days ago

  Big up

 • Ludovick John
  Ludovick John 14 days ago

  Victoria amazonika mazur sn

 • Ben Mtweve
  Ben Mtweve 14 days ago

  Hiyo kitu inayo tembea just ya maji noma ila nimependa habari nzuri sana

 • ally peres
  ally peres 14 days ago

  Dah hii kali yao!! gonga like wanang wa faida

 • ETO MISSI
  ETO MISSI 15 days ago

  kutoka amazon kuna equator ipo congo drc

 • emmanuel juvieh
  emmanuel juvieh 15 days ago

  Kiumbe kingine zaid ya YESU u nuts! 😠😠😠😠😠😠😠😠😠

 • elibigman bigman
  elibigman bigman 15 days ago

  Acheni Mungu aitwe Mungu

 • THE MOVIES LOVER
  THE MOVIES LOVER 16 days ago

  Hii ndo #WASAFI

 • Noel Mwita
  Noel Mwita 16 days ago

  Napenda xn kipindi hiki

 • Nyambele winfrida
  Nyambele winfrida 17 days ago +39

  Kama sauti ya mtangazaji amekuvutia kama Mimi tupia dole hapa twende sawa

 • Fetty zing
  Fetty zing 17 days ago

  Yani wazungu bhana kila kitu kushika ss kumzuta huo mkia ndio nn

 • menas kilibika
  menas kilibika 17 days ago

  Mungu mwema sana na uumbaji wake!!

 • Eliud Mwakyolile
  Eliud Mwakyolile 17 days ago +1

  Naomba watangazaji na wote mnao narrate documentary jitaidini kusoma makala za secta mbalimbali hapa nchi au pengine mitandaoni ili kupunguza ujinga...kwanini kuwadanganye watu?!! eti wataalamu wote na ujuzi wao na vyeti vyao hawajaweza kuelezea ni kwanini maji ya baadhi ya sehemu na mito uko Amazon inachemka... maji kama hayo yapo Mbeya, Pwani, Dodoma, Morogoro, Bukoba nk...hapa Tanzania kuna kamupuni chini ya TANESCO, linaitwa TGDC - Tanzania Geothermal Development Company Ltd, ni kampuni maarumu kwa shughuri za utafutaji wa maji moto au pengine unaweza sema mito au vijito na visima vyenye maji moto (Geothermal water)...dhumuni kuu ni uzalishaji wa nishati umeme kutokana na maji moto....

  Watanzania tujifunze kusoma na pia tuitumie nyenzo hio ya kuweza kusoma kama namana ya kuondoa ujinga na sana zaidi kuepuka kuwadanganya wengine....viumbe wanaotembea juu ya maji hutumia kitu kinaitwa surface tension (ni aina ya kani mnyanyuo) iliopo kwenye maji...na kwa sababu miguu yao huwa na namna kama miguu ya bata vile vile pamoja na kuwa na uzito mdogo..kutumia Achimedesis Principal na kwa wao kukimbia juu ya maji viumbe hao huweza kuonekana wakitembea juu ya maji sio kama Yesu alivyoweza tembea juu ya maji bana...

  Nomaba tuwe wakweli...na kama hujui kitu jaribu kusaka uhalisia juu ya kitu au jambo unalotaka uma ujue kwa undani...tujitaidi kuwa wakweli nasisitiza.

  • THE MOVIES LOVER
   THE MOVIES LOVER 16 days ago

   We makalio kweli
   Alichodanganya kitu gani hapo
   Au ndo wale wale wanaokalili?
   Surface tension only helps some flies and insects to #SKATE nasio lazima hao wadudu wawe na web
   Ndio maana ukiweka impurity yoyote kama vile pov lasabun wale pond skaters are hindered to skate
   However u might be right ila mtangazaj hajakosea
   Je bata I mean ducks and geese hao nao tuseme wana float over water due to web or surf tension?
   Try to go deep into thinking b4 u wish 2 embarass yoself kid!

 • Jina langu wewe la nini

  Siongezi neno mshaongea yote

 • MUMY BHAY
  MUMY BHAY 18 days ago +1

  Heko wasafi kiboko ya wote sante wasafi

 • kidoti R
  kidoti R 19 days ago

  subhana Allah

 • Mligo Mbuma
  Mligo Mbuma 19 days ago +4

  Wengine hawajapata nafasi ya kusoma darasani lakini wanapata nafasi hapa you tube....pongezi kwenu wasafi mtazitendea haku MB's zetu

 • Mak Impreza
  Mak Impreza 19 days ago

  Samaki mwenye shoti ndo katishaa

 • Josiah Kamugisha
  Josiah Kamugisha 19 days ago

  Yaani hii documentary nmeipenda

 • Mustaph Ramadhan
  Mustaph Ramadhan 19 days ago

  Kulefusha uume nakuongeza nguvuza kiume

 • Neema Katikiro
  Neema Katikiro 19 days ago +1

  Utasikia wakenya wanasema amazon IPO kwao

  • THE MOVIES LOVER
   THE MOVIES LOVER 16 days ago

   Hahahaaa
   Hawa wakenyatta majirani zetu ni OPPORTUNISTS 4 SURE!

 • fred freei
  fred freei 19 days ago

  Ich kpind kingekuwa kinalushwa kwenye tv

 • kipngetich bett
  kipngetich bett 20 days ago

  Maajabu ya mungu haya

 • abuu barry
  abuu barry 20 days ago

  Huyo mjusi yupo hata katika baharia za tz mimi mwenyewe nimesha wahi kuwaona

 • FRATER
  FRATER 21 day ago

  Too many ads asf!!!!

 • Yusufu Ally
  Yusufu Ally 21 day ago +1

  Nimekubal

 • African Queens
  African Queens 22 days ago

  🥰

 • Muhammad Alhinai
  Muhammad Alhinai 22 days ago +1

  Unatangaza vizuri ila uischanganye sayansi na dini.. unamtaja taja yesu saana 😂 sisi wengine tulokua hatuamini kama yesu ni mungu unatuondolea stimu za kukuskiliza

  • THE MOVIES LOVER
   THE MOVIES LOVER 12 days ago

   @Muhammad Alhinai
   How stupid you are!
   Anyways
   Go bow down to my penis if you mind!
   Mana naona una #nyege
   Jina lako lakipemba lasadifu wewe ni sh**a
   Unataka kugongwa nn?
   But sorry

  • Muhammad Alhinai
   Muhammad Alhinai 13 days ago

   THE MOVIES LOVER au ndo umekasirika kisa sikubali kua Yesu ni mungu!? 😂 lia ugare gare basi 😂😂😂

  • Muhammad Alhinai
   Muhammad Alhinai 13 days ago

   THE MOVIES LOVER ingekua kweli “who cares” usingelinijibu mjinga wewe mwnyeo uliepoteza mda wako ukanyanyua midole yako ayo uka reply comment yangu 😂 ona ulivyo mjinga 😂😂😂

  • THE MOVIES LOVER
   THE MOVIES LOVER 16 days ago

   Acha ujinga
   Jina lahuyo mjus linasadfu atafsirivyo
   Kam hutak ama #WASAFI
   Who cares?

 • James Bishanga
  James Bishanga 22 days ago +1

  asee Mungu ni mkubwa

 • Yussuf Muhoza
  Yussuf Muhoza 22 days ago

  Allah akbar mungu ni mkubwa kabisa aliye umba mbingu na ardhi

 • steve online
  steve online 23 days ago

  nawapenda vyura wenye shobo😂😂😂😂

 • steve online
  steve online 23 days ago +2

  kama unaangalia in 2019 gonga like

 • Shadrack Dede
  Shadrack Dede 23 days ago

  Mungu wewe ni mkuu sana ktk uumbaji wako

 • razack kalanje
  razack kalanje 23 days ago +10

  Kama unakubali msimuliaji anasimulia kwa utulivu zaidi na umakin ,gonga like

 • herbert maneno
  herbert maneno 23 days ago

  boring

  • THE MOVIES LOVER
   THE MOVIES LOVER 16 days ago

   It's only if u are deaf
   And I am not sure if you are straight at all

 • Siwema Mahenge
  Siwema Mahenge 23 days ago

  aliyeogelea hakukumbana na dhoruba yoyote ya wanyama

 • amani peace
  amani peace 24 days ago

  where is the forest amazone

 • Raymond Msanga
  Raymond Msanga 24 days ago

  Hizi ndo watuwekee kwenye mabasi ya safari za mikoani ili watanzania wengi wapate elimu dizaini hii sio muvi za kina Bambo na miziki ya kina Fally Ipupa.
  Nice documentary

 • Sir Bagenda
  Sir Bagenda 25 days ago

  Duh, safi sana tulete part 2 ya Amazon

 • Mustakimu Twaliki
  Mustakimu Twaliki 25 days ago +1

  Maajabu

 • Jokyam Jukyam
  Jokyam Jukyam 26 days ago

  Duh

 • Rajabu Ngatanda
  Rajabu Ngatanda 26 days ago

  Kama kila anayeingia humo hatoki
  Kwakiza jee aliyechukua video alitumia njia gani ?
  Nielekeze vizuri mtoa habar

  • THE MOVIES LOVER
   THE MOVIES LOVER 16 days ago

   There is an advanced system of videographing nowadays
   Yaan kuna flying cameras cctv cameras underground camera and aquatic camera
   So siku iz panaingilika kuna linkage ila kirais zaid ukiwa organized sio alone

 • Margeys Marvin
  Margeys Marvin 26 days ago

  mwahabari ako tu sawa...

 • chibwana issa
  chibwana issa 26 days ago

  Mtega abdalah c yule msela aliyemaliza shule ya msingi mkumini 2005 akiwa na ndugu yake rashidi mtega yeye alikuwa mzimuni pale ???

 • Najim Toturials
  Najim Toturials 27 days ago

  dah naaangalia night acha anaconda

 • Ruben Changah
  Ruben Changah 27 days ago

  Yaani kunajamaa kaogerea mto mzima anakonda na wadudu hatar mnakwama wapi😂😂😂😂😂

 • Aasiya Asia
  Aasiya Asia 27 days ago

  Dooh hao nyoka wanatishaaa

 • Laurence Pius mg
  Laurence Pius mg 27 days ago +1

  wcb 4 life

 • Laurence Pius mg
  Laurence Pius mg 27 days ago +1

  daaa story tam sanaaa

 • Adam Jimoung
  Adam Jimoung 27 days ago

  Dah shidda

 • Said Mosh
  Said Mosh 27 days ago

  Achen mungu aitwe mungu xo kwamaajabu hayo

 • Vincent Mhalla
  Vincent Mhalla 27 days ago +1

  gonga like twende sawa

 • hm dm
  hm dm 27 days ago

  gonga like kama umeskia "fedhuli mwanadamu"

 • hm dm
  hm dm 27 days ago

  gonga like kama umeskia "fedhuli mwanadamu"

 • DANIEL MADENYEKA
  DANIEL MADENYEKA 28 days ago

  Duuuu....ni story nzuri

 • Dmo Ulanga
  Dmo Ulanga 29 days ago

  Mnajua nyie ni brand kubwa mnapoandika vichwa vya habar vya uongo ili kuvutia watu waangalie video mnaishushia hashi brand yenu

 • Abdalla Abedi
  Abdalla Abedi 29 days ago

  😁😁😎mjusi yesu du hahahaaaaaaaa

 • Sultan Mganzira
  Sultan Mganzira 29 days ago

  Jamani hii ndio stori hamisa mobeto tumemchoka hivi mtatu vuta wengi sana