KUTANA NA 'Choreographer' MTANZANIA ANAYEITIKISA UFARANSA

Share
Embed

Comments • 3

 • Nathan M
  Nathan M Month ago +2

  Mayotte ni kisiwa cha France Ila kipo Africa pembeni ya Madagascar. Ni waafrika walioamua kwa hiari yao wenyewe kurudi kwa mkoloni wao. Ni kisiwa choka mbaya ila huyu bwana anaongelea ka yupo France penyewe.

  • Kiswahili Kitukuzwe 254
   Kiswahili Kitukuzwe 254 Month ago

   Mayote hapo awali ilikuwa sehemu ya visiwa vya Comoros. Ila wafaransa walifanya ujanja na kuwapunja Wakomoro kisiwa hicho wapokuwa wakidai uhuru wao. Comoros sasa wameomba kujiunga na Jumuia ya Afrika Mashariki.

 • Sirm Jr
  Sirm Jr Month ago +2

  Kwel music East Africa upo WCB