DUDU BAYA AMKATA MAMA YAKE MASIKIO/MIMI SIO MLEVI NI VIBE ZANGU/KUNA NDUGU HAWANIPENDI

Share
Embed
 • #wasafi #wnews

Comments • 76

 • Atanas Jisonge
  Atanas Jisonge Month ago

  Namuelewaga sana huyu mwamba

 • CHUYU TV
  CHUYU TV Month ago

  JAMAA KATOKA KWENYE SWALI UME ULIZWA KWA NINI ULISEMA UTAKI NGOMA ZAKO ZIPIGWE SEMA SABABU

 • Regina Mzanje
  Regina Mzanje Month ago +1

  Konki konki konki master.

 • BENARD OTAYA
  BENARD OTAYA 2 months ago

  Konki master kamili,,,juzi ulituambia umeokoka bana kuliendaje mzazi ?

 • log epafra
  log epafra 2 months ago

  Mkweli wangu,
  🤣🤣 unanifuraishaga sana

 • Amza Manishimwe
  Amza Manishimwe 2 months ago

  iv mbona kati ya wasanii wario wai kutokea yy ndio anararamika tu kira kukicha

 • Nisha Abdallah
  Nisha Abdallah 2 months ago

  Uyu kuongea ukweli apendi fitina

 • Nisha Abdallah
  Nisha Abdallah 2 months ago

  Mm muelewa sn konki

 • Link Reuben
  Link Reuben 2 months ago

  Konki anajielewa na anayaelwa sana maisha ya kibongo!
  Watu wa media badirikeni Mungu anawaona!

 • Octavian Kalunde
  Octavian Kalunde 2 months ago

  Nice konk

 • mohammed shaabani
  mohammed shaabani 2 months ago

  Sijawahi kuusikia mzikiwako Uganda wala Kenya acha uongo

 • JATU TV
  JATU TV 2 months ago

  HIVI UNAJUA?? KUWA UNAWEZA FANYA KILIMO KUPITIA SIMU YAKO?? NI RAHISI TUU!!! SUBSCRIBE CHANELI HII KUJIFUNZA NA UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU???

 • JATU TV
  JATU TV 2 months ago

  HIVI UNAJUA?? KUWA UNAWEZA FANYA KILIMO KUPITIA SIMU YAKO?? NI RAHISI TUU!!! SUBSCRIBE CHANELI HII KUJIFUNZA NA UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU???

 • JATU TV
  JATU TV 2 months ago

  HIVI UNAJUA?? KUWA UNAWEZA FANYA KILIMO KUPITIA SIMU YAKO?? NI RAHISI TUU!!! SUBSCRIBE CHANELI HII KUJIFUNZA NA UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU???

 • Jackson Nyarangi
  Jackson Nyarangi 2 months ago

  Hiyo ngoma ya Dullie na Willie inatokea lini, huyo kijana ako na talanta saana na wisdom.... nilipenda alivyo chana huku Wasafi festival siku sauti ya baba karogwa ikapotea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸

 • Young Yayoo
  Young Yayoo 2 months ago

  Waimba nn dudu baya ww lkn

 • Juma Lihumbo
  Juma Lihumbo 2 months ago

  Madini

 • RYANKASH KASHELLA TV
  RYANKASH KASHELLA TV 2 months ago

  Ata hapa Kiambu kenya uwa nakufuatilia sana.mpaka interview zako

 • Thamiyuu Cute
  Thamiyuu Cute 2 months ago

  Unaongea pwent mbonaa..

 • Lusu Mwasomola
  Lusu Mwasomola 2 months ago

  mm shabiki wako

 • Uwimana Uwimana
  Uwimana Uwimana 2 months ago

  eti na umriwangu mm naweza kuishi kijijini na mamayako😂😂💪🏾

 • Nasra Ali
  Nasra Ali 2 months ago

  Ila ili linaongeag ukwel😂

 • Frank Haji matozi
  Frank Haji matozi 2 months ago

  Hunajipya mziki umekushinda.

 • Nurdini Mndeme
  Nurdini Mndeme 2 months ago

  unbeatable man . .

 • Evance Tilya
  Evance Tilya 2 months ago

  😂

 • Dom Tech
  Dom Tech 2 months ago +1

  U know more than we know. Broo keep going tanzania ni nchi ya chuki sana. Tofaut ya nigeria wenzetu wanapendana. Tofauti na sisi. Sijui tuna laana gan

 • Prisilah Cleofasi
  Prisilah Cleofasi 2 months ago

  Hamna wachagga wanao kaa na mama zao vijijini, kwa wale wanao jielewa kwa hiyo acha umama

  • Stephene Mganga
   Stephene Mganga 2 months ago

   Hujamuelewa ww ,,JINA LA MTANGAZAJI NDIO MCHAGA .. anaitwa mchaga OG

 • Hussein Yusuph
  Hussein Yusuph 2 months ago +1

  Ebwan hata Mimi nakuunga mkono broo konki

 • Hussein Yusuph
  Hussein Yusuph 2 months ago

  Jamaa kaleta msemo mtaani na tunaishi nao

 • Swedish James Tv
  Swedish James Tv 2 months ago +1

  Dudu baya saii nakuelewa unadeel na frastrations 🤔🤔🤔🤔

 • Mosquito Online Tv
  Mosquito Online Tv 2 months ago +1

  kuwa m2 mzima syo kuwa na ndevu au umri mkubwa ni kukua kiakili

 • Zikiri Nation
  Zikiri Nation 2 months ago

  Hiki kipindi angekuwaga yule presenter big chawa wa ushuwani masaki angeuwa Sana na swgg zak

 • capitano findus
  capitano findus 2 months ago

  Henya hata hatukutambui hara ngoma zako hatuzijui

 • Kevin Mwamba
  Kevin Mwamba 2 months ago +1

  Burundi nani anakujuwa wewe mzee !

 • Stephen Voda Salano
  Stephen Voda Salano 2 months ago +4

  Nice interview,watching all the way from Kenya 🇰🇪
  Tazama video zangu in my channel 🙏

 • Peter hano
  Peter hano 2 months ago

  Konki Konki Konki master uko sahihi man together as one

 • Charles Mkombozi
  Charles Mkombozi 2 months ago

  Huyu jamaa anamziki gan?

 • justine momanyi
  justine momanyi 2 months ago +1

  Mchaga OG. Huu utangazaji unauweza saaana. Yaaani saaana

 • official edger official. tz

  konk muster

 • Isra Classic
  Isra Classic 2 months ago

  Ngoma Kali inaitwa
  # Strong dude
  Ingia RUclip channel isra classic

 • Fadhili platnumz
  Fadhili platnumz 2 months ago +5

  KONK3 og- saruutiii The Dudu

 • mbilinyi andrewhumphrey
  mbilinyi andrewhumphrey 2 months ago +4

  OGOPA KUA MPUMBAVU AFU USIJIJUE KUA NI MPUMBAVU NDO HAYA

  • Adam Mallya
   Adam Mallya 2 months ago

   mbilinyi andrewhumphrey oya andrew mbilinyi niaje mzeeiya

 • mbilinyi andrewhumphrey
  mbilinyi andrewhumphrey 2 months ago +2

  Harakati gani mpuuzi huyu yaani linajionaga kama lipambanaji wakati hakuna kitu chizi leviiii mbwa

 • OfficialmrTop 10
  OfficialmrTop 10 2 months ago +13

  Kweli kabisa Konki wew ukiingia kwenye stage unaliamsha vibaya sana hata huku msumbiji watu wanaandikaga jina la KONKI kwenye gari zao

 • Shalo Kakozi
  Shalo Kakozi 2 months ago

  Little cheese

 • Wily Julius
  Wily Julius 2 months ago

  Good

 • Stevoo Vlogs
  Stevoo Vlogs 2 months ago +2

  Hahahahaha konki chiziii

 • Abdalaah Naziru
  Abdalaah Naziru 2 months ago +1

  Konk usisikilize wa***nge songa mbwele mjuba

 • VALENTINE EVARIST
  VALENTINE EVARIST 2 months ago +1

  KONKI MASTER balaa zito ahhah

 • Zawadi Kiss
  Zawadi Kiss 2 months ago +10

  Msemaji wa Wcb Hahahaha

 • Shammy Love
  Shammy Love 2 months ago +6

  konki apo kwa shetta umepuyanga anaongea na daimond

  • baraka steven
   baraka steven 2 months ago

   @Shammy Love nlionaa ila kam angejibuuu ndio tunge amin kwan nimara ya kwanzaa kwa wasanii kam shettan kumtag mond kweny caption zao

  • Shammy Love
   Shammy Love 2 months ago

   @baraka steven ingia kwa page ya shetta inst alipost video clip ya mwanae akiwa nae anacheza nyimbo ya daimond then alimtag na alicoment wangekua hawaongei acngemtag😏

  • baraka steven
   baraka steven 2 months ago

   Apan hawaongei ile ya kilimanjaro ilikuwaa nikwasababu wako at samepoint

 • Thomas Mwambe
  Thomas Mwambe 2 months ago +6

  Kama wew konk mavi tu.. kama star kweli ndio uende huko Kenya huna akili lizee zima ovyo kila siku kulalamika tu.. kama mwanamke tafuta mume akuoe

 • ROCK SIZZOH
  ROCK SIZZOH 2 months ago +14

  Kuna wakati hata saa mbovu huwa inasema ukwel... Kink3.

 • Shayo Paterini
  Shayo Paterini 2 months ago +2

  Upo juuu sana konk³ master

 • Ismail French channel
  Ismail French channel 2 months ago +34

  kama unamuelewa konk gonga like

 • john silima
  john silima 2 months ago +3

  Hahaha yani hapo ameongea point zote Mara nyingi tunaziona hizo

 • Amani Manase
  Amani Manase 2 months ago +2

  Ukweli broo

 • johari abdalla
  johari abdalla 2 months ago +3

  Tatzo huna uimbajiii...hiyo sauti ya kuimba huna hilo liko waz linajuilikanaa

  • Braiton John
   Braiton John 2 months ago

   johari abdalla good conk

  • FRANCIS MSAMI
   FRANCIS MSAMI 2 months ago

   Huyu sio muimbaji Ni rapper...just to correct you
   No hard feelings

  • MAN PIZZO
   MAN PIZZO 2 months ago

   Ila kiukwwli media ya wasafi haina ubaguzi jaman mimi nimetuma nyimbo yangu juzi kwa email ya wasafi jana nimeisikia ikichezwa 88.9

  • johari abdalla
   johari abdalla 2 months ago

   @official edger official. tz wee acha ukereketwa na utimu wa kijingaa..ana uimbaji gani sasa?ww utimu na ukereketwa unakusumbuwaaa,Niseme uongo kwa kutaka nn?ww ndo huoni hilo?

  • official edger official. tz
   official edger official. tz 2 months ago

   johari abdalla we muong nd Wale wale nyie

 • aisha Aisha
  aisha Aisha 2 months ago +2

  😍😍😍😍😍😍😆👏👏💞💞💞💞💞

 • Eric Successor
  Eric Successor 2 months ago +9

  Konki konki konki must unatambulika hao wote wamevuma saii wameogelea kwa kisima ulio chimba nakushim sana babaa

 • Swabir Waseet
  Swabir Waseet 2 months ago +5

  Kenya hakuna mahali mziki wako unapigwa wacha uongoo fala

  • Jackson Nyarangi
   Jackson Nyarangi 2 months ago

   Ulizaliwa juzi utajueje mziki wa Konki, kaskize Nandi na ukae kimya kimya.... mimi ni mkenya, na bado nausikiza mziki wake ata hapa Marekani fala hii

  • Sofia Asukuku
   Sofia Asukuku 2 months ago +1

   Kwenu akuna rediyo ,marekani tunazipiga wewe Apo kakuma una lolote

  • official edger official. tz
   official edger official. tz 2 months ago

   Swabir Waseet auna lolot umeenda Lin keny azipigw nyimb za dudu we nd muong keny nyimb Zak zna iti

  • David Singu
   David Singu 2 months ago

   @Swabir Waseet ww tunaaminije Kama ni mkenya acha uongo

  • OfficialmrTop 10
   OfficialmrTop 10 2 months ago

   @Swabir Waseet kwani wew ambae ni mkenya unatembelea kila eneo LA Kenya?

 • Belka Msafi
  Belka Msafi 2 months ago +7

  Hapo umeongea kweli wanafiki ni wengi sana konk3master

 • yesse dieume
  yesse dieume 2 months ago +21

  Nenda mbele Konki. Tuna Ku kubali kutoka Kinshasa Congo ... Nakupenda tu vile ulivyo nakupenda tu

 • Dahacy Mbura
  Dahacy Mbura 2 months ago +6

  umetxha na nuxuuh but una sound gud 😍 it so

 • World Posts
  World Posts 2 months ago +28

  Jamaa kaongea masuala ya msingi sana.

 • Hassanova junior
  Hassanova junior 2 months ago +18

  KONKI KONKI KONKI MASTER nakuelewa sana🔥🔥🔥🔥🔥

 • rehema shafi
  rehema shafi 2 months ago +4

  Uyo ndio konk 3 uko juu baba sijawai kukataa ata siku moja

 • Paul Sasuma
  Paul Sasuma 2 months ago +8

  Maana ya kumhoji INA maana gani

  • Uwimana Uwimana
   Uwimana Uwimana 2 months ago

   Paul Sasuma mana ilitujuwe ukwel na uwazi mana bongo unafiki na husda umewutawala 😏

 • Ken Ugoro
  Ken Ugoro 2 months ago +8

  🔥🔥🔥

 • Peter Ernest
  Peter Ernest 2 months ago +31

  kumbe jamaa lina akili sana

 • Mtwara yetu tv
  Mtwara yetu tv 2 months ago +44

  Mwamba kama unamwelewa konk gonga like

 • Mtwara yetu tv
  Mtwara yetu tv 2 months ago +11

  Nakubareeeee konk konk

 • Eric Andrew
  Eric Andrew 2 months ago +4

  Gg

 • Ashura Bakiri
  Ashura Bakiri 2 months ago +16

  Konk konk masta yaani huyu Jamaa kuna namna alivyo mmh🙄🤭

 • خسن موس
  خسن موس 2 months ago +9

  Wasaf chama lao

 • Aspboy Tz
  Aspboy Tz 2 months ago +4

  Noma sana