RASMI:Samatta Asaini mkataba kukipiga Leicester city?/Ampindua JimyValdy namba 9/Ronaldo,Messi..

Share
Embed
 • Published on Jul 5, 2019
 • #samatta #leicesterCity #BINGOsports
 • EntertainmentEntertainment

Comments • 221

 • Salimu Mpimbi
  Salimu Mpimbi 17 days ago

  Dawa yenu ni ku unsubscribe tu
  .. we badala ya kueleza kitu kinachorndana na kichwa cha habar na co kuleta historia Kwan c hatuijui . Au amekuwa marehemu

 • Salimu Mpimbi
  Salimu Mpimbi 17 days ago

  Huo ni ukuma mnazingua. We nenda kwenye point sema kasajiliwa wapi na lini Kasaini co kutoa maneno kama unaimba taarabu... usenge kabisa

 • Tumaini Kyando
  Tumaini Kyando 18 days ago

  Acha porojo nenda kwenye point ! mara rasmi kajiunga , mara anatarajiwa , acha uhuni mtangazaji

 • deogratias kafulu
  deogratias kafulu 20 days ago

  P1 xamata

 • Ben Mtweve
  Ben Mtweve 23 days ago

  Mze taalifa Bomba sana.

 • Immanuel John
  Immanuel John 24 days ago

  Nice pambana brother

 • onesmos Lyimo
  onesmos Lyimo 28 days ago

  safari njema

 • Vibes kali UpDaTeS
  Vibes kali UpDaTeS 28 days ago

  hongera Sana'a kaka samatta Mungu amfikishe mbalii

 • Hussein Juma
  Hussein Juma Month ago

  We ni muongo

 • hanfredy mhwina
  hanfredy mhwina Month ago +1

  Sana braza nenda kapigane

 • Ally Kinura
  Ally Kinura Month ago

  Acha uongo ww

 • Ramadhani Ahmad
  Ramadhani Ahmad Month ago +1

  Team no failure

 • Syk Syk
  Syk Syk Month ago +2

  Ana respect,juhud n maalifa n Anaweza

 • Syk Syk
  Syk Syk Month ago +1

  Sam magol he can

 • Syk Syk
  Syk Syk Month ago +2

  Mbwana ally samata Anaweza kupambana

 • Bujii Classic196
  Bujii Classic196 Month ago

  Umetsha

 • Pilipili Tv
  Pilipili Tv Month ago +1

  Muongo xn we mtnzaj mfungj br ana goal 25

 • Mohamed Mwanja
  Mohamed Mwanja Month ago +1

  samata umefanya la maana kwenda huko ulaya hongera sana

 • Mesut Şen
  Mesut Şen Month ago

  Come To GALATASARAY

 • Sabo Mwenchumu
  Sabo Mwenchumu Month ago

  Angalia mambo yako yanayo wezekana

 • Wahab Mkazi
  Wahab Mkazi Month ago +1

  Hilo ni swali , mbona wako sawa tuu? Wameuliza. " samata kusajiliwa Leicter "?

 • Abdulhalim Abdalla
  Abdulhalim Abdalla Month ago +1

  Boss hiyo pesa yulo ni pesa ya inchi gani

 • Mor Lov zeboy
  Mor Lov zeboy Month ago +1

  Mwandish manin upo out of topic

 • Saumu Ally
  Saumu Ally Month ago +1

  Unazingua mkal unatamka manen kama huja xoma axe

 • Fundi Mponjili
  Fundi Mponjili Month ago +1

  Kaz nzuri mtangazaji big up

 • SingidaTUMO TV
  SingidaTUMO TV Month ago

  Hizi hiz youtube channels mnakwama wapi??yaan kwasababu kila mtu ana RUclip basi mnaandika andika tu vichws vya kipuuuzi

 • Benjaminibogohe Michael

  Ikopoa

 • G Massive
  G Massive Month ago +1

  Dah... Shikamoo mtangazaji umefanikiwa kula data zetu

 • ephraim nnko
  ephraim nnko Month ago

  Anna point hapa

 • TRENDING STORY
  TRENDING STORY Month ago

  Nmeipenda

 • Hemedi Habibu
  Hemedi Habibu Month ago +2

  Safari njema brother mungu awe na ww

 • Amani S Msuya
  Amani S Msuya Month ago

  Yani hata rumors kwny sports sites za mbele bado...eti unaandika samata ampindua vardy!!!We jamaa ww

 • Festo Meshack
  Festo Meshack Month ago +2

  I told you. Kuna vitu huwa havirudi nyuma kama #Samatta

 • Eliah Malongo
  Eliah Malongo Month ago

  Mbona hueleweki umesema rasmi kasaini

 • vanier dex
  vanier dex Month ago

  Mtangazaji unakera sana...

 • mical bobu
  mical bobu Month ago

  Safe

 • Kanuth Mgaya
  Kanuth Mgaya Month ago +2

  Kwa mimi ninavyoona atapata mafanikio makubwa sana maana ni mtu mwenye kujituma sana

 • Iddy Omary
  Iddy Omary Month ago

  Pambania kombe samagoooolll

 • Dennis Mposindawa
  Dennis Mposindawa Month ago

  Ndio maana huwa wanakosa 'subscribe' hawa waandishi mandezi kbs. Unaandikaje eti 'amesaini' alafu kwenye maelezo unasema 'endapo atasaini'? Alafu point ni moja tu lkn clip ni ndeeefu maelezo yanajirudia ruudia tu kutumalizia bando tu. Shubaamit.....

 • ngahimika remig
  ngahimika remig Month ago

  Wewe unazingua unasema mwenye asili ya kitanzania kwan nilaia wa nchi gani

 • Fabian Faustine
  Fabian Faustine Month ago

  Ni mtanzania sio mwenye asili ya kitanzania

 • PaulLabile Pogba
  PaulLabile Pogba Month ago

  Vardy mkali, Samata hamwezi....

 • Maiko Zakaria
  Maiko Zakaria Month ago +1

  mungu amsaidie kaza brother

 • Abdul Khamis
  Abdul Khamis Month ago

  Bassii si i i isi

 • said adam
  said adam Month ago

  Kichwa cha habar na maelezo yko mbn tofaut unatuchanganya sheee au ndio sitairi y kuuza habarii

 • mecha mkunda
  mecha mkunda Month ago +1

  Mtangazaji unaongea sana mpaka unaharibu kazi yako😠😢

 • Issa Mohd
  Issa Mohd Month ago

  Ww mchambuzi hujui kuongea kiswahili unabwata sana yulo maana yake nini lazima useme yuro nauliposema rigi ya uingereza ndonini sasa lazima useme ligi ya uingereza

 • Die On Movement 255

  Alafu unataka watu wa subscriber Chanel yako... Wakati hata unachofanya hukijui ... Hebu sikila unachoongea then fanananisha na ulichoandika...

 • MANISIMBATV
  MANISIMBATV Month ago

  duuuh

 • Gabriel Godwin
  Gabriel Godwin Month ago

  Upumbavu huu

 • Alpha Rage
  Alpha Rage Month ago +2

  Kazaliwa 1992 vp anamiaka 29?

 • Mohd Rashid
  Mohd Rashid Month ago +1

  Watanzania kwa misifa

 • Samson Mfaume
  Samson Mfaume Month ago

  Mtangazaj anatupoteza tu unaongea uchaf tu humu ndan

 • Makame Mufadhil
  Makame Mufadhil Month ago

  Hanalolote

 • Esawe Mathias
  Esawe Mathias Month ago

  unazingua, kwenye maandishi umeandika amesaini. kwenye sauti unasema kama atasaini

 • J uma
  J uma Month ago

  Mwenye asili au Mtanzania?

 • Hussein All
  Hussein All Month ago +2

  Mnaongea sana vitu tuvyovijua elezeni anasajiliwa wapi tena kwa ukweli mnazingua dawa yenu ni Ku unsuscecribe

 • Danford Paul
  Danford Paul Month ago

  Unaongea xana uwe unafupixha maelezo broo

 • chadoa classic
  chadoa classic Month ago +1

  Wanaomkubali samata gonga like hapa.

 • Lucas Shilagwa
  Lucas Shilagwa Month ago +1

  Unaudhi sana wewe hasa unavyotamka hiyo Le'ter city.

 • Godfrey Apollo
  Godfrey Apollo Month ago +1

  habari ingekuwa ya sekunde 30 tu kushney!! sio maneno meeeeeengi ka ulichelewa kuongea

 • haji hashimu
  haji hashimu Month ago

  jamaa ana bahat san mung amtangulie

 • Anthony Maganjo
  Anthony Maganjo Month ago +1

  Hakuna kitu hapa

 • Tony Karim
  Tony Karim Month ago +1

  Kuma nyinyi...editing ndo mumependa

 • James Ndoss
  James Ndoss Month ago

  Hakika ataweza coz uko alipotoka n mbali na anapokwenda bc Mungu atakuwa naye na mm nazidi kumwombea azidi kuwa juuuuuu Mbwana samatta utazidi kuwa juu bro

 • gikundi alex
  gikundi alex Month ago +1

  I wish the best samhatta

 • Jmdadila TV online
  Jmdadila TV online Month ago

  fuck you be straight forward the headline is very different with wat you're expressing

 • heryson Sway
  heryson Sway Month ago +9

  God blec u sama goal bt kaza buti xafr madrd hyooo kam unamkubl gonga like hapa

 • Sebastian Martin
  Sebastian Martin Month ago

  Noma sana samatta

 • jully Richy
  jully Richy Month ago +1

  Mzee ktu ni kzur ila jaribu kufatilia takwimu vzr
  Samata hana miaka 29 bali ana 27
  Pia samata hakuipeleka timu yke UEFA CHAMPION LEAGUE bali ilikuwa ni Europa League
  Lkn mwxho umetudanganya unaandka rasmi kumbe uongo
  Acha kiki leta mantik utatik tu

  • Jahazi Letu
   Jahazi Letu Month ago

   Ni UEFA, Europa ni msimu ule wanyuma now wanaelekea UEFA

 • Mtalai J5
  Mtalai J5 Month ago

  ruclip.com/video/KklxRApz12o/video.html
  WALIOSAINI SIMBA HAWA HAPA

 • Mtalai J5
  Mtalai J5 Month ago

  ruclip.com/video/KklxRApz12o/video.html

 • Ibrahim Sanga
  Ibrahim Sanga Month ago +1

  Big Up Samatta na wengine fuaten nyayo zake mfanye vzuri hata kumzidi. Ndo fahari yetu hyo kama TZ!!!

 • BAHARIA HD
  BAHARIA HD Month ago

  ACHA UBABAISHAJI JIFUNZE LUGHA UMEISHIA LA DARASA LA PILI SIO MBAYA MUHIMU UJIFUNZE LUGHA NA MATAMSHI YA CLUB MBALI MBALI DUNIANI UNAWAHARIBIA WENYE FANI ZAO

 • Jofrey John
  Jofrey John Month ago

  Hivi nyinyi waandishi mnatatizo gani?