LAVA LAVA Alipo Fika Kwenye Jumba La Mama Diamond KIGOMA

Share
Embed
 • Published on Jun 12, 2019
 • For Bookings: Contact +255652427989 Email:ricardomomo70@gmail.com
  Follow Lava Lava On:
  Instagram: iamlavalava?hl=en
  Facebook: iamlavalavapage/
  Twitter: iamlavalava?lang=en
  #wasafi #lavalava

Comments • 21

 • edmond irakoze
  edmond irakoze 3 months ago +5

  nampenda sa mr #LAVALAVA kama wewe unampenda kam mimi nipe #like

 • said rashidi
  said rashidi 3 months ago

  Full shobo..duh!

 • Lute booker
  Lute booker 3 months ago +1

  ulipga show kali sana mzee baba

 • Romwardy Revokatus
  Romwardy Revokatus 3 months ago +1

  Home boy #Kigoma

 • DIRECTOR JUKYA
  DIRECTOR JUKYA 3 months ago +1

  Kumamake crip la kinyama atari daaaa uyu jamaa anatisha

 • Tatu Muddy
  Tatu Muddy 3 months ago +1

  4 life

 • Faith Jesse
  Faith Jesse 3 months ago +2

  Napenda mr lava lava saaana from kenya

 • Wiz Khamad
  Wiz Khamad 3 months ago +1

  Wcb for life

 • Kenyan boy
  Kenyan boy 3 months ago +6

  Lava lava bado upo kwa Illuminati ama😪...i feel sorry for you ndugu rudi kwa mola wako tupo duniani na ipo siku utaondoka! Rudi ukachambue Quran takatifu uliyo hifadhi braza.Huna marafiki wabaya wanaokupotosha wewe nikianza na diamond platnumz.

  • Assad Majaliwa
   Assad Majaliwa 3 months ago

   Kwan ulikuwanae uko? Akifanikiwa mtu shetan akiwa masikin asadiwe na matajir jaman bas Suleiman aleiman alikuwa mason namba 1

  • Benson kyalo
   Benson kyalo 3 months ago +4

   Msanii akiteseka hayuko illuminati ,akipata mafanikio yuko illuminati ...ever thought of good talent and proper marketing /promotion

  • Rhina Amiry
   Rhina Amiry 3 months ago

   Nikweli unayosema wasanii wengi wameishika dunia sana coz wanajisahau

  • mbodze Bemasika
   mbodze Bemasika 3 months ago +2

   Mimi siezi muhukumu kama yupo lakini kama ni kweli nadhani ndo kwanza mkoko umealika bado yuanywa dawa za mizizi😂😂😂😂kuoga kombe ndo tamati na bado..hajapata hata tuzo kwanza

 • رضيةshe is god orait رضية

  Mashallah

 • SEBBY BADY TZ.
  SEBBY BADY TZ. 3 months ago +2

  Nakukubar boy

 • Ermano Ermano
  Ermano Ermano 3 months ago +12

  Kama wewe ni fans WA lava lava Nipe like 😘😍

 • Ommy Khan rf
  Ommy Khan rf 3 months ago +4

  Mie namba ngap

 • ABDUL MALIK UBEYD
  ABDUL MALIK UBEYD 3 months ago +1

  🇸🇴

 • Joyce Afwande
  Joyce Afwande 3 months ago +4

  First viewer first commenter and first to like

 • John Chris
  John Chris 3 months ago +2

  Number 1