Whozu- DOKO (Official Music Video)

Share
Embed
 • Published on Jul 19, 2019
 • For BOOKINGS:
  bookwhozu@gmail.com
  Catch Up With WHOZU On:
  Instagram: whozu_
 • MusicMusic

Comments • 1 144

 • zahra shop
  zahra shop Day ago

  copy ya mondi

 • safari buyugu
  safari buyugu 3 days ago

  Ume tishasana

 • Abdallah Kigube
  Abdallah Kigube 12 days ago

  Dullah kigube apa naangalia hii video

 • Ras D the king
  Ras D the king 12 days ago

  Aliepend style za Mond zlzochezwa kwny vidio hii like yako tafdhal
  Nmeipend hii ngoma kiujuml.

 • Eunice Jacob
  Eunice Jacob 13 days ago

  Song la ukweli

 • Paul Kiyango
  Paul Kiyango 14 days ago

  Hatr sana

 • everina tz
  everina tz 16 days ago +1

  Eeee yes whozu zombi😂👉🔥🔥🔥💜💜💜💜💙

 • John Sam
  John Sam 16 days ago

  Hii nyimbo ilifika views 1m nitaridhika

 • stevedabreezy
  stevedabreezy 19 days ago

  Da huyu dada kudance noooma

 • Erik Tamas
  Erik Tamas 19 days ago

  I love the song

 • LINEAR KENYA
  LINEAR KENYA 19 days ago

  this guy has a great talent,his musical style is way refined and unique to himself which makes him stand out from the rest of the BONGO ARTIST.KEEP us in loop with the GREAT CONTENT

 • KREA
  KREA 20 days ago

  ruclip.com/video/aqiLaFRujVs/video.html

 • KREA
  KREA 20 days ago

  ruclip.com/video/aqiLaFRujVs/video.html

 • Cnn Mitfol
  Cnn Mitfol 21 day ago

  No nudity
  No drugs
  No abuse
  Loving the vibe... Out here repping East Africa
  Zombie X lizzer = #smashhit

 • ycce Rayvanny
  ycce Rayvanny 23 days ago

  Maqgod # Mix - Whozu- DOKO

 • Lilyoo Kamone
  Lilyoo Kamone 25 days ago

  Nakubali bro 💪💪🖒

 • Emmanuel Mwanyalo
  Emmanuel Mwanyalo 25 days ago

  Nimedhani vanyboi 😂😂😂😂

 • John Temba
  John Temba 26 days ago +1

  Fanya kama una dukua duku hatari xana

 • Salim Aliy
  Salim Aliy 26 days ago +1

  Whozu nakukubalisana natamani ufike alipo mondi kazizako ziko poasana kk

 • Overdoz Classic
  Overdoz Classic 26 days ago

  wangapi wamemuona mrithi wa mondi nje ya wasafi.

 • Muh Brayan
  Muh Brayan 26 days ago

  Hadi chanyuma changuh ahahahah

 • Salim Saidy
  Salim Saidy 27 days ago +1

  eeeeeeeeh bwana eeeeeeeeeeehh UNAJUA NAKUKUBALIIIIIII dondosha like kama nawewe unamkubali

 • Obby Mwakasoke
  Obby Mwakasoke 27 days ago

  ukimuangalia kwa mbali utasema rayvanny

 • George B.G
  George B.G 28 days ago +1

  Nimeshikwa na kipururu mama Wangu keeper anataka goli Nikapate kiputururu mama Kwenye bedi Sama goli Lala! Ah ameshiba anataka kulala Basi leta mto, Lala! Ah ana mbwembe kushinda jimanala Yaani diko diko, Lala! Ananoga ka tende ka peremende ndende Ana bahari mji ka solo(kasolo kasolo) Somersault kwenye godoro(Godoro godoro) Nakanyonya kama kandolo(Kandolo kandolo) Nakaganda kwenye chochoro(Chochoro) Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Ooh maduu, ooh madee Ah du maduu, ooh madee Sura zimevunda wanionea gere lelele Wasifanye ka tunda waninyoe na nywele lelele We sasambua sasambu(Weka) Twende Arusha Marangi(Weka) Saa ya muhogo Chachandu(Weka) Hadi cha nyuma cha kwangu Ana bahari mji ka solo(kasolo kasolo) Somersault kwenye godoro(Godoro godoro) Nakanyonya kama kandolo(Kandolo kandolo) Nakaganda kwenye chochoro(Chochoro) Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Lala! Ah ameshiba anataka kulala Basi leta mto, Lala! Ah ana mbwembe kushinda jimanala Yaani diko diko, Lala! Ananoga ka tende ka peremende ndende Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Laizer on the Mix Too much money Too much money

 • Frank Urasa
  Frank Urasa 28 days ago

  atareeeeeeee

 • Neema Peter
  Neema Peter Month ago +1

  Utamu

 • Eveline Edwin
  Eveline Edwin Month ago +1

  Gud

 • kim pesa
  kim pesa Month ago +1

  Tz ladies are fine! Mob love from kenya

 • Joshua Abila
  Joshua Abila Month ago +1

  ofsa unatisha

 • Candy Missy
  Candy Missy Month ago

  Wanna be diamond as always...Y'all are too typical these days!

 • Esther Mutali
  Esther Mutali Month ago

  Hadi cha nyuma cha kwangu, 😂😂😂

 • Bonifas mwitah
  Bonifas mwitah Month ago +1

  Namkubali Sana whozu
  Wanangu was #whozu piga kelele

 • Said Omar
  Said Omar Month ago

  Just

 • Randy Mb
  Randy Mb Month ago

  NEED IT ON SPOTIFY FOOOOR REAAAL 😭🙏🏾🙏🏾

 • Aloe vera boy Kasote

  kwa kweri mziki unavitu vya thamani ,whozu alivyo nipigiya kwenye hii song nivitu vikubwa kwanza umeiga staili za simba platnumz na staili za v vany boy hongera saaaaaaaana but yupo master wa mziki aitwaye "Diamond platnumz " simba hongera sana simba nami Nina ndoto zakuwa kama wewe mwana chama wa WCB wasafi Aloe vera boy good buy my friends

 • Naimah Hussein
  Naimah Hussein Month ago

  Kaz nzuri dingoooo kaza baba

 • Sebastian Kimendo
  Sebastian Kimendo Month ago

  Hii ni firee hapa @whozu umekill

 • Idrisa Athuman
  Idrisa Athuman Month ago

  Tuliofikiri kuwa hii ngoma ni ya rayvany wa wcb tuombeane kwa Mungu

 • Kijukuu Once Again
  Kijukuu Once Again Month ago

  Naomba whozu yulee jamaa asijee kukutamani ukajiunga kwenye level yakee utafel Sana'a maana wewe naona kabisaa unamchimbia kaburi ngoma Kali sana man

 • Billkillmusic officiel

  Caliii from 🇨🇦

 • Upendo Peter
  Upendo Peter Month ago +2

  Ngoma imeua aise yan kuanzia video shooting had miswagz, kichupa kikali bhalaaaaa..... km una doko bas gonga likes here👍👍👍👍👍👍👍👍

 • Ochu Online
  Ochu Online Month ago

  Mnao angalia naleo tena kama mm, 2juane kwa like plz

 • Mchina Savage
  Mchina Savage Month ago

  ruclip.com/video/vFEpYCrUxus/video.html

 • Nadhifa Juma
  Nadhifa Juma Month ago

  Tamu sanaa dooooh lik znu jmn

 • Moses Mnyantope
  Moses Mnyantope Month ago

  H

 • Martin Paula
  Martin Paula Month ago

  Hiii video ina maadhi ya vdeo za diamond. Uchezaji ,mavaz na gestures za whozu mwenyewe

 • Bon Sera
  Bon Sera Month ago

  manara anakutafuta

 • Mr Antagonist tz
  Mr Antagonist tz Month ago

  Team whozu. Doko

 • Zuwena Ali
  Zuwena Ali Month ago

  rayvany Kwosha kazi

 • Noel Frank
  Noel Frank Month ago +1

  Hivi nyie mnaosema mnaomba like zetu huwa mnazipeleka wap ebu fanya kulike hapa kama unamkubali #whozu

 • Western Daddy
  Western Daddy Month ago

  Kama kawaida WHOZU

 • Ommy Aaron
  Ommy Aaron Month ago

  Wow nice man but me to I have RUclip ruclip.com/video/af4L-xG-830/video.html

 • hamissa tweets hamissa tweets

  Eeeeh brooo umetisha 😍😍😍

 • KEVO NEM
  KEVO NEM Month ago

  BRO! unaweza

 • Mummyluiz Candyhive

  i like the song

 • Fatma rudi kwa Allah sasa acha kuimba Jamal

  If u ❤❤ the way they dance just like it and crown it😘😘😘😘

 • Fatma rudi kwa Allah sasa acha kuimba Jamal

  If u ❤❤ the way they dance just like it and crown it😘😘😘😘

 • subra issiaka
  subra issiaka Month ago

  Unawez kaka

 • Rahma Abdullatifu
  Rahma Abdullatifu Month ago

  Dukuwaaa on 🔥

 • Winfrida Emanuel
  Winfrida Emanuel Month ago +1

  Noma sana