Breaking: Maalim Seif Avunja Ukimya Kwa CCM, Aibuka Na Tuhuma Nzito Jioni Hii Leo

Share
Embed
 • Published on Jul 13, 2019
 • Karibu Kuangalia Video Hii, Kisha Subscribe, Like Na Share, Kwa Kupata Habari Zaidi.
  #360TZONLINE
  #Zanzibar

Comments • 191

 • Talib Said
  Talib Said Month ago

  We Mzee na huo umri wako unasema uongo umesahu we ndo ulikuwa ukisema jamaa zangu wa Pemba cuf ndo chama chenu kishakuwa Hana sera

 • MDUNGI KHAMIS
  MDUNGI KHAMIS Month ago

  Ajira haichagui ccm au cuf au act tusipoteshwe na watu wanaijilia vitu

 • Abubakar Muhammad Said

  ruclip.com/video/gev0-olp960/video.html

 • Kassim Said
  Kassim Said Month ago

  Kila anae kupinga bc huyo ndio dhwalim wa nchi

  • Bakar Abajana
   Bakar Abajana Month ago

   Dhwalim ww na uyo seifu tena wanafki wakubwa nyie mnasababi raia wanauwawa afu yeye na wenzake wanakula bata Mwenyezi Mungu anawaona p

 • Tozza Alexandar
  Tozza Alexandar Month ago

  Una apishwa lini babu kimyaa sanaa

 • Kobajuma Kuziwa
  Kobajuma Kuziwa Month ago

  We mbona uliukataa mkono wa DC chein sio ubaguzi tena msibani mjinga wewe

  • Saleh A
   Saleh A Month ago

   Kobajuma Kuziwa ah sasa wewe utapeya mkono wa mtu mwenye dhulma au ndiyo wewe akina mussa xmass zawadi unaweka mwenye kwenye mti halafu wasema muungu wako kakuleteya

 • Kobajuma Kuziwa
  Kobajuma Kuziwa Month ago

  Nyinyi mbona mnaukabira wa upemba mchochezi tu huna jipya

 • Kobajuma Kuziwa
  Kobajuma Kuziwa Month ago

  Huyu mpuuzii kupita kiasi kazoea kuwadanganya wapemba basi kila mtu anataka kumdanganya

 • Peter Jeremia
  Peter Jeremia Month ago

  Wewe umekwisha

 • louxonmedia
  louxonmedia 2 months ago

  Babu pumzika sasa Uraisi huupati Ng'oooo wewe ndiyo kiongozi mwanasiasa mzee kupita wote Tanzania. Tulia sasa ule pensheni yako. Utakuja kufa majukwaani

 • Hemed Suleiman
  Hemed Suleiman 2 months ago +4

  Nikweli hata mdogowangu alitokea mtuwakwanza ntaviyuu ya uhasibu hakupatakazi amepewa mtu asietarajia

 • Charles Murimi
  Charles Murimi 2 months ago +1

  Ccm ni giza tu mseif, acheni wasaliti wadanganywe na ccm. Vijana tujitambue taifa ni letu maana sisi ni wazee wa kesho. Tuandae mazingira ya watoto kesho.

 • Nayyar Ahmed
  Nayyar Ahmed 2 months ago

  Maalim tunakuomba kwa nia safi katakq

 • Nayyar Ahmed
  Nayyar Ahmed 2 months ago +1

  Kweli Maalim unayo sema mie mwanangu mwenyewe kapigwa na chini kwa ubaguzi huo hao ccm laana washalaaniwa

 • gada west
  gada west 2 months ago +2

  Mzee mwaaaaaaaa nakupenda Sana bba

  • Zuwena Said
   Zuwena Said 2 months ago

   Mtaishia kucheza ngoma hatawali nchi hii nyinyi Wapemba njaa nchi hii haiwezi kuongozwa na Wapemba wangazija wala waarabu nendeni kwenu wapuuzi mnajenga mpaka mabondeni mnaacha kwenu nyinyi ndio fitina wa nchi hii hapa mpaka kiamaaa

 • Oman Seeb
  Oman Seeb 2 months ago

  Upo sawa baba yangu

 • Anuary Ally
  Anuary Ally 2 months ago

  Kinachoitajika ndugu zangu kuhusu kazi duniani pote ata uyo seif akichukua nchi awawezi wote zanzibar wakapata kazi wengine wakulima wangine biashara kuliko kungojea kazi mwishowe jua linakuchwea uyo seif apo anapoongea tayari anaingiza fedha kwa porojo zake watoto wake wanakula wewe je ukitoka apo unaanza mawazo njaa kinachoitajika ni kujishugulisha sio kungojea kazi ya mtu mfano kuna kulima ata kashamba kadogo unachanganya mazao ya kisasa michungwa minazi miembe mapapai yote ya kisasa mihogo maindi viazi vitamu unavuna iki na iki kinapevuka jaribu utaniambia ata kufuga kuku wa kienyeji ukianza na watatu baada ya miezi sita unakuku mia mbili kuna nini tena apo utataka kazi ya mtu wote tufanye kazi nani atamtuma mwenzie jishughulishe utayaona maisha mazuri uyo seif iyo ndio kazi yake wewe je jalibu utaniambia izo porojo za siasa duniani kote akuna wanafanyakazi wote wangine wakulima wengine wafanya biashara ndio kawaida

  • fatma HAMED
   fatma HAMED 2 months ago

   Tatix kazi had uwe na kadi ya ccm wabaguz

 • Juma Othman Mohd
  Juma Othman Mohd 2 months ago +1

  Zanzibar kuna watu walihama darasa la saba wameajiriwa ila dgree wameachwa mtaani

 • Hassan Kitende
  Hassan Kitende 2 months ago

  Mh serekali ya babu ali we noma maalim

 • Farida Ali
  Farida Ali 2 months ago

  Kweli maalim kuna watu wamefeli form two wameajiriwa kwa sababu wazee wao ni ccm

 • Abdulihafidh Ali
  Abdulihafidh Ali 2 months ago +2

  Maalim seif upo sahihi

 • Asia Issa
  Asia Issa 2 months ago +1

  Tena bas watu wanahasimiana na baadhi yao hawazikani napia athari nyengine hawapendani waislam kwa waislam wanahasimiana chanzo ni nyinyi viongozi walinganieni watu kufanya mambo mema acheni hizo siasa hazina maana ila ni upotovu
  Wazungu hamjui wamefanya njama yakuuharibu uislam kupitia vyama vingi nasisi waislam tumepatikana kiurahisi yale mambo ambayo mungu hayapendi ndio yoote ysnafanyikana kwenye hizo siasa zenu mungu atuonyeshe haki tuifuate na hio batili atuepushie amiin nimekukumbusha na wewe wakumbushe wenzako inshaallah

 • Asia Issa
  Asia Issa 2 months ago +2

  Assalamu alaikum maalim sefu nakuusia na kuiusia nafsi yangu kumuogopa allah subhanahu wataala kila siku dheikh unawambia watu watashinda na ilhali unajua jambo hilo haliwezekani sasa uongo mungu na mtume wamekataza ni dhambi kubwa jambo lakusema uongo kua mtashinda mtashinda achans na siasa rudi kwa mola wako fanya istighfari ufe hali yakua mungu amekuridhia baba angu
  Siasa ni uongo haifai

  • Bakar Abajana
   Bakar Abajana Month ago

   Ujumbe mzur sana

  • Fareed Ufahamu
   Fareed Ufahamu 2 months ago

   Asia Issa wewe wajuaje kua yeye ajua fika kua hashindi lkn asema atashinda? Au wewe umeletewa wahayi!

 • Fortunatus Wangubo
  Fortunatus Wangubo 2 months ago +1

  Mbona wewe unahubiri ubaguzi mzee mzima huna aibu

  • Juma Mohamed
   Juma Mohamed 2 months ago

   Hata kama unamchukia mtu sikiliza anachokesema ,anachokisema kipo na ni kitu cha kweli .

 • Fortunatus Wangubo
  Fortunatus Wangubo 2 months ago +1

  Wewe kapumuzike umechoka umeua cuf kwa ajili uchu wa madaraka

 • Hamad Saidi
  Hamad Saidi 2 months ago +2

  E maalim seif tushachoka we kila siku tusubiri tupe ruhusa visiwa vigeuke kuwa kama libya turuhusu sote tunaimani lakini tuiweke pembeni kidogo tumwagane michuzi maneno hayamuuwi simba mana mm sijapewa kitambulisho hata kimoja lakini mtoto wa mdogo wa ccm amepewa

  • Nayyar Ahmed
   Nayyar Ahmed 2 months ago

   Maalim hajapata wala hatopata kusema uwongo na kweli haku endeleeni mji mchafu majumba ya watu yamefanywa madampo ya kutupa taka mji umepanuka lakini uko ovyo na mengi Subhanallah

 • Hamud Seif
  Hamud Seif 2 months ago

  Aaa me wenzangu watu wa beni..apo ndo nimeipenda siasa

 • Chocolate Pudding
  Chocolate Pudding 2 months ago

  Maalim kauka mimi nilisha sema kitaaaabo kuhusu shuwain na October 2020 ita tafutiwa sababu yaani kabla ya ya uzushi wa matokeo nililiweka wazi lino nukta

 • Bakar Abajana
  Bakar Abajana 2 months ago +3

  Maalim ungestafu2 umri ushakwenda rudi kwa Mola wako siasa haitakupeleka peponi

  • Bakar Abajana
   Bakar Abajana Month ago

   @A MOHAMMED watetezi wawa Zanzibar Uamsho ambao wapo mahabusu mpka leo mwaka wa 5 sasa wapo ndani kwa sababu ya kudai hati ya Muungano iko wapi na sio sefu mnafki hata wazanzibar walimwita mnafki

  • A MOHAMMED
   A MOHAMMED Month ago

   yuko kwenye jihadi ya kuwasaidia wazanzibari. Hakuna wa kuwasemea. CCM wanawakandamiza wazanzibari

  • Bakar Abajana
   Bakar Abajana 2 months ago +1

   @Saheed Ali kwani kunapepo ya wanasiasa kashaongopa sana kashasababisha maafa makubwa wa2 wakaliwa alafu yeye na ccm wakaenda kupatana marekani ulikua mwaka wa 20000 cha msingi atubie kwa Mola tena toba ya kweli na cyakinafki

  • Saheed Ali
   Saheed Ali 2 months ago

   Kwani wee una uhakika na pepo ndugu yangu? Na utamjuaje mtu WA peponi wakati ww na mm sote ni jahazi Moja fikiri kabla ya tweet bnaa

 • Paul L
  Paul L 2 months ago +1

  WaZN, umefika wakati wakikiondoa Chama Cha Mabuguzi, huko ZN. Kuna tofauti gani kati ya mkoloni na serikali hii ?

 • Paul L
  Paul L 2 months ago +2

  Ugaidi wa CCM🙈🤔🤔 dhidi ya wananchi.

 • Duller Ally uko vzur dj
  Duller Ally uko vzur dj 2 months ago +2

  Kweli unachokiongea Mungu akusaidie ili uje uikomboe zanzibar

 • Mbarouk Salim
  Mbarouk Salim 2 months ago +10

  Hapo umesema kweli, mm nilitokea wa kwanza katika interview ya shirika la BIMA (IT Manager), management wakamchagua mtu wa tatu kwa sababu ni CCM. Baada ya mapambano makali na BODI kuamua niajiriwe mm, nilitolewa kwa kutumia nguvu za GSO

  • Eliudi Eliasi
   Eliudi Eliasi Month ago

   Ukweli kwakuwa yamekukuta kuna wajinga wanampinga

 • fast lass
  fast lass 2 months ago +2

  yaani tunakupenda sanaa Mzee wetu waongea ukweli kabisaaa

 • Jamal Naeem
  Jamal Naeem 2 months ago +1

  Ahsante Maalim tupo pamoja .

 • Almaz Almasr
  Almaz Almasr 2 months ago +2

  Maalim katika ubora wake

 • Abdul abass
  Abdul abass 2 months ago +2

  Ngoma km hii wakipiga chama flani nimakafiri lkn wao nimitume ,duh

  • Juma yusuf
   Juma yusuf Month ago

   @Dazuu Juma npo unguja ntakuja uko nipe contact zako uwe mwnyj ang

  • Juma yusuf
   Juma yusuf Month ago

   @Dazuu Juma nipo unguja nataka nikija nifike uko cna uenyej nipe mawasilano ako nkutafte

  • Dazuu Juma
   Dazuu Juma Month ago

   @Juma yusuf njoo

 • Jimmy Mnuano
  Jimmy Mnuano 2 months ago +4

  Maalim Seif mimi nimelipenda shati lako limekupendeza sana maana umekuwa kijana

 • Ahmad Seif
  Ahmad Seif 2 months ago +2

  Hongera sana maalim kwa kuongea ukweli

 • Kipepe tv
  Kipepe tv 2 months ago +1

  Huyu ndiye kiongozi makini mungu turkeye mungu mpee maisha marefu

  • Haji Nyange
   Haji Nyange 2 months ago

   Kuli lihaqi wainkanna mura.

  • fatma hamad
   fatma hamad 2 months ago

   @Manyota Skipper wanamuogopa,hujui hilo,kuna siri mzito zidi yao

  • Manyota Skipper
   Manyota Skipper 2 months ago

   @fatma hamad hakuna wakuingia barabarani sasa hv watu washastuka Wao ndio wanaumia AKINA MAALIM KESHOKUTWA WANAKUTANA IKULU WANAKUNYWA JUICE HAKUNA YEYOOTE WA KWENDA BARABARANI HADI LEO MAALIM HUMSIKII AKKWATETEA UAMSHO AU KWENDA KUWAONA MAHABUSU HUYU MAALIM NAE MCHUMIA TUMBO TU WAPAMBANAJI WA DHATI WALE MASHEKH WA UHAMSHO NDOMANA HADI LEO WANATESEKA MAALIM ANGEKJWA MPAMBANAJI WA DHATI ASINGEKUWA HURU HIVI

  • fatma hamad
   fatma hamad 2 months ago

   @Manyota Skipper ataapiswaje ,ivi ww unapenda fujo na mauwaji yatokeee,maalim ni mmtu mwenye busara na hekma,anajua akiwaambia km haapishwi kuna watu wataingia barabarani,na kutokea maafa ,maana ccm ndo washajizatiti,hawatoi,na atakae,leta fujo bigwa bunduki,kufia mbele huko,ivi ulitaka yawe hayo kibibi ww

 • Khamis Juma
  Khamis Juma 2 months ago +3

  Mungu.atueke.kiogozi.wetu.malim Zanzibar people beautiful message from USA

 • Haji Hassan
  Haji Hassan 2 months ago +3

  Waambie ukweli vijana, duniani kote ajira ni changamoto. Hata ndani ya Serikali viongozi akiwa na mapenzi na chama fulani sahau. Lakini pia waambie mfumo wetu ni wa vyama ndio vinaongoza Serikali hivyo Serikali ni Mali ya chama yetu wote ni NCHI.
  Mimi naunga mkono 100% Wafanyakazi wote wa Serikali wawe ni wanachama wa chama tawala ili wakiharibu tuwaone live. Kwa muda mrefu sana sasa Ofisa asiye na interest na chama anaharibu kazi kwa sabotage halafu kinalaumiwa chama hiyo siyo DEMOKRASIA. DEMOKRASIA ni kuheshimu na kila mfanyakazi aelewe kuwa inayotekelezwa ni Ilani ya chama kilichoshika Serikali, sio ila kuwa na chama au hata kuanzisha kipya lkn taratibu zifuatwe.

 • Said Ali
  Said Ali 2 months ago

  Kweli maalim sana hawangalii uwezo wa mtu wao wamekaa kwenye itikadi kila kitu siasa hata hilo jeshi kaz ya kurisk bas wanatia siasa watu wanafeki vyeti hio ndio sera ya ccm leo rai wa nchi serikali imekupa mkopo wenyewe baadae inakuchunguza huo ubaguzi maalim sio leo tu huo upo zamani tuko na makaratas tele ndani yamekaaa tu upuuzi huu unaotufanyia ccm na serikali yao

 • Said Ali
  Said Ali 2 months ago

  That true

 • Salim Khamis
  Salim Khamis 2 months ago +2

  Maalim unachoongea ni uhakika wa 100% yaani ni zaidi ya hatari. Mtihani sana Zanzibar lakini ipo siku Allah ataleta kheri

 • Almost Goro
  Almost Goro 2 months ago

  Safii mzee baba

 • Anuary Ally
  Anuary Ally 2 months ago +3

  Maalim seif urais upo ata wa kuongoza soko au gulio sio mpaka uwe rais wa nchi

  • Juma Mohamed
   Juma Mohamed 2 months ago

   @Anuary Ally Unasema vizuri sana ,kujishughulisha mwenyewe katika kazi mbali mbali kama kulima ,kufuga kuku na nk,ninacho kiona mimi katika kutoa maoni watu wengi wanakua sio wakweli wanakua na chuki juu ya mtu , hata kama anasema kweli kwa sababu ya itikadi ya chama.

  • Anuary Ally
   Anuary Ally 2 months ago +1

   @Juma Mohamed mambo hayo yapo ulimwenguni kote cha kujiongeza wewe ujishughulishe usingojee kazi ya mtu kuna kulima ni kazi kuna kufuga ata kuku wa kienyeji ukianza na watatu baada ya miezi sita unakuku mia mbili sasa kazi ya mtu ya nini kuna kujilimia ata kashamba kadogo unachanganya mazao ya kisasa michungwa minazi miembe mapapai yote ya kisasa mihogo maindi vipiazi vitamu jalibu utajionea kwani wewe aujui kazi duniani kwa kumuangalia nani sio ccm tu duniani pote ata uyo sefu atawapa kazi wote akichukua nchi jitafakali uyo mwenyewe anakula na familia yake ameshakupa ata bakuli la ugali jiongeze jishughulishe akuna mtu atayekupa fedha mkononi sahau jishughulishe

  • Juma Mohamed
   Juma Mohamed 2 months ago

   Hata kama Seif unamchukia lakini anachokisema kipo na ni jambo la kweli,ubaguzi upo katika kutafuta kazi.

  • Dazuu Juma
   Dazuu Juma 2 months ago

   😂😂😂😂😂 uwwwi roho yangu miee sera tayari iyo

  • Manyota Skipper
   Manyota Skipper 2 months ago

   😅😅😅😅😅

 • Anuary Ally
  Anuary Ally 2 months ago +3

  Nenda Madagascar ujionee wanavyoishi ovyo yaani zanzibar ipo juu sana kimaendeleo sihaba wewe seif ukichukua nchi sijui kama utabanduka

  • Juma Mohamed
   Juma Mohamed 2 months ago +2

   Nyinyi mulivyokuwa watu wa ajabu hata kutengeneza vituo vya gari -daladala (bus station )hamuna kila siku CCM hao wanakwenda kutembea nchi za jirani zao hawajifunzi ,mji mzima hauna kituo cha daladala cha maana ukasema kweli hiki ni kituo cha daladala wepeni wenzeni waongoze hiyo serikali huenda mukajifunza kupitia kwao .

  • Saheed Ali
   Saheed Ali 2 months ago +1

   Mi nishaenda huko wapo juu ikilinganisha na cc

  • fatma hamad
   fatma hamad 2 months ago +1

   @Mahmoud Ali 😂😂mwambie uyoooo asojielewa

  • Mahmoud Ali
   Mahmoud Ali 2 months ago +1

   Madagascar umeenda lini na katika visiwa alivyotaja hakuitaja Madagascar wacha ujinga huo weye Raisi wa Wajinga

 • Anuary Ally
  Anuary Ally 2 months ago +2

  Kazi ata kulima sio mpaka ufanye kazi serikari au viwandani kinaxhoitajika kujishugulisha mwenyewe usikae tuu ata mzazi wako ukishakuwa anakuimiza ujishughulishe ili ujisaidie mwenyewe

  • Sule Pesa
   Sule Pesa 2 months ago

   Upo sahihi ndugu ila hizo shamba unamiliki wapi wakati ardhi ni mali ya serikali ata ukimiliki kuna mbolea na pembejeo zinaitajika muwezeshaji nani? ujue ndugu yangu kitu kinofanya kila mtu asubirie ajira serikalini ni mipangilio mibovu t ya kiserikali laiti kwamba serikali inge wawezesha vijana kuwapa mitaji au hata mikopo nakuimarisha kilimo,viwanda,uvuvi bahari kuuu na kuwanya kuwahuru kibiashara kwa punguzo za kodi basi nakuakikishia nafasi za kazi serikalini zingekosa watu .

  • Anuary Ally
   Anuary Ally 2 months ago

   @Sule Pesa ndio maana nakwambia akuna mtu au nchi inayogawa pesa kwa mawazo yako maalim seif akichukua nchi ni mfano tu unafikilia wote wanzazibar watapata kazi na ninani atamtuma mwingine kama wote wana kazi popote duniani akuna wanafanyakazi wote wangine wakulima wengine wafanya biashara ndio kawaida anayoongea uyo seif ni siasa polojo polopaganda tu wewe ndio mwenye njaa uyo familia yake inakula bila kushughulika sasa wewe kaa ungojee fedha zitaingia wenyewe mifukoni bila kujishugulisha wenzako tuna mashamba angalau madogo lakini tonge linaenda kinywani bila kutaka msaada kwa mtu eti nasubiri kazi mwishowe utakuja kupakatiwa wewe kaa tu unasubili kazi kazi ni kujishugulisha tu wewe mwenyewe basi fuga kuku wako watatu baada ya miezi sita unakuku mia mbili kuna nini tena apo utataka kazi ya mtu kama shamba unachanganya mimea mihogo michungwa minazi milimao mipapai michenza mahindi yote ya kisasa unavuna iki na iki kinapevuka jaribu utaniambia kama utataka kazi ya mtu

  • Sule Pesa
   Sule Pesa 2 months ago

   iyo shamba yakulima ww unayoo

  • Suleiman Mwalimu
   Suleiman Mwalimu 2 months ago +1

   Anuary Ally ....mbona huendi kijijini kushika jembe unalikimbia

 • Ali Haji
  Ali Haji 2 months ago +21

  True lkn anaekubali gonga like hapa

 • Alishiya Alitaqwa
  Alishiya Alitaqwa 2 months ago +1

  mambo ndo yameanza mwaka ushaanza kukaribia nn tuachen kwanza tuhangaikien maisha

 • Saidi Masudi
  Saidi Masudi 2 months ago +3

  Ongea Sera za Chama chako
  Wewe ni kulalamika tu

  • fatma HAMED
   fatma HAMED 2 months ago

   @Claudio Paul ndo ukwel huo zenj haajiriw km huna kadi ya ccm

  • Claudio Paul
   Claudio Paul 2 months ago

   Maalim kazeeka had akili, akapumzike aachane na siasa za kinafki

  • fatma hamad
   fatma hamad 2 months ago

   Sera wenyewe ndo izo babu eee ,maalim Ana sera za ukweli mtupu, na mtaumwa nyie,jirekebisheni mapapai nyie,ivi mkikosolewa nyinyi si ndio pakujiweka sawa,ili msilaumike
   alaaa na halalamiki asema kweli

  • Abdalla Saggaf
   Abdalla Saggaf 2 months ago

   Znz bado hatuna chama sera gani unataka

  • Ali Haji
   Ali Haji 2 months ago +1

   Kwan anachooongea ni uongo ni ukweli mtupu

 • Abdulaziz Harthy
  Abdulaziz Harthy 2 months ago

  Alhamdulillah watu wa wazanzibar wameanza kuujuwa ubaya wa Afro-Shirazi na hata kuwaruhusu watanganyika kufanya khiyana kwa wazanzibari inshallah Allah swt hatosimama nao na zanzibar yetu itarudi

 • Ashrita Abdallah
  Ashrita Abdallah 2 months ago +1

  Wala hamtuelezi ilikua wapi nyie vipi

 • Ashrita Abdallah
  Ashrita Abdallah 2 months ago +3

  We kameraman umeganda apoapo tu mbona watu wengine hutuoneshi?

 • Adill Habib
  Adill Habib 2 months ago

  upo sahihi mzee

 • Adill Habib
  Adill Habib 2 months ago +10

  yaa- allah mpe uzima maalim seif

 • omar kanout
  omar kanout 2 months ago +1

  Sema baba ww ndie kipenzi cha wanzanzibar ulipo tupo sisi hatuogopi

 • Talib Said
  Talib Said 2 months ago +1

  Balahau huna mpya umebaki kutangatanga tu

  • Salim Khamis
   Salim Khamis 2 months ago +2

   Talib Said hata kama humkubali lakini anachoongea ni facts, kama umefika japo form tu nakuomba ufanye research (utafiti) utapata matokeo

 • Hussein Konz
  Hussein Konz 2 months ago +2

  Uzee haujawah kumuacha mtu salama

  • Saheed Ali
   Saheed Ali 2 months ago

   Hata ujana haujawahi kumuacha mtu salama coz wewe mwenyewe huko salama

  • Abdalla Mohd
   Abdalla Mohd 2 months ago +1

   @Khatib Hijja umeona eee.... uandkaj wake anamkosoa Mwalim yy mwanafunz kazd

  • Khatib Hijja
   Khatib Hijja 2 months ago +3

   @Mariam Zuheir ww mbna kijana lkn ushazeeka,andika vizuri Kwanza kizondo ww

  • Mariam Zuheir
   Mariam Zuheir 2 months ago +1

   Hussein Konz : KWELI HATA UKIONGEA UNAJIGONGAJIGONGA MUDA USHAKUKIMBIA , JUA KWAKO LISHAKUCHWA KWA MSEMO WA PWANI.