Taarifa iliyonishituwa, Magufuli Amemtumbuwa January Makamba leo na kumteuwa Hussen Bashe

Share
Embed
 • Published on Jul 21, 2019
 • ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU TAFADHALI BONYEZA SUBSCRIBE KISHA BONYEZA ALAMA YA KIKENGELE PIA LIKE NA SHARE VIDEO ZETU ASANTE SANA. ( DON'T FORGET TO SUBSCRIBE ).

Comments • 72

 • Tausi Manzuri
  Tausi Manzuri Month ago

  Jiangalia wewe mtangazaji maana waongea ujinga mtupu uyo janual makamba atapokea tuu agizo la rais akialibu atatumbuliwa

 • Medson Ulendo
  Medson Ulendo Month ago

  Rais mungu akuweke unatawala kwa kututumikia watanzania bashe hajajosea na hiyo wizara ulio mpa atatusaidia sana cc wananchi

 • Sharifu Muadham
  Sharifu Muadham Month ago

  Allah.atazidi.kukupa

 • Abubakar Habibu kaka nakukubala unafundisha jamii

  Mim makamba namkubali naana shida

 • Carlos Mikwaya
  Carlos Mikwaya Month ago +1

  Mimi nauliza tu kidogo Huyu bashe musiba sio alimsema kuwa ni fisadi na ndio alieuwa magazeti ya Rostam azizi sasa Leo usafi Wa bashe uko wapi? au alishaoga kwasasa yuko safi? ugomvi wake na musiba umeisha? siasa bwana duuh najiuliza tu hii ni season 8 bado sehemu9

 • Juma Mnyambwa
  Juma Mnyambwa Month ago

  Katiba yawarioba nijibu

 • Juma Mnyambwa
  Juma Mnyambwa Month ago

  Bashe kwa mfumo wa lichama hiro huwezi hapo nindiyo ukikosowa au kusema ukweli wewe jipu

 • James Komba
  James Komba Month ago

  Naamini bashe utafanya vizuri zaidi hapo, maana ulikuwa mbunge pekee ulie kuwa unatufikiria wakulima tena kwakuumia sana moyoni usitugeuke

 • Chama Patrick
  Chama Patrick 2 months ago

  Bashe ni Jembe

 • Abraham Balamba
  Abraham Balamba 2 months ago

  Zamu yako Bashe kuonyesha uwezo wako katika kutatua matatizo ya wakulima ambayo yamekuwa mwiba mbaya kwa uchumi wa taifa letu

 • Neema Lambo
  Neema Lambo 2 months ago

  Big up rais wetu

 • athuman omary
  athuman omary 2 months ago +2

  Asante san mwenyez MUNGU mkuu kwa muongozo wako mwema kwa raisi wetu na wasaidizi wake wote

  • Asteria Mbwei
   Asteria Mbwei Month ago

   Bashe umemtendea haki kabisa ni kichwa kwelikweli

 • migogele mkude
  migogele mkude 2 months ago

  haya

 • william charles
  william charles 2 months ago

  Daimond

 • william charles
  william charles 2 months ago

  Daimond

  • Zainabu Bakari
   Zainabu Bakari 2 months ago

   william charles kweli akili ni nywele kila mtu na zake sasa huyo kapuku wako daimondi anafikaje hp

 • Yassin Suleiman
  Yassin Suleiman 2 months ago +2

  yaaan kwa bashe anagempa kabisaaa uwazir wakilimo huyu jamaa anajitambua sana hongera pia kwako mh rais kwa maaamuz magum ya kuhusu maendeleo

 • Razia Mbwana
  Razia Mbwana 2 months ago +3

  Hongera simba chawene nikwasababu tangu upigwe chini hujaleta vurugu wala fitna ndomana bd heshma yako imebaki vzr.

 • J. F.K
  J. F.K 2 months ago +3

  Huo uteuzi wa Bashe umenigusa huku nje ya nchi. Sasa bwana Bashe, weka kwenye vitendo mawazo yako mazuri bungeni👏🏿👏🏿👏🏿

 • Mtafutaji Mema
  Mtafutaji Mema 2 months ago +5

  Marufuku ya mifuko ya plastic lilikuwa ni agizo la JPM sio wazo la January, tena "lilichelewa kutekelezwa" kwa maneno yake mwenyewe raisi.

 • Tinya Anosiatha
  Tinya Anosiatha 2 months ago

  Mimi kwa ushauli wangu kinana , membe, Nape, mzee makamba. Wafukuzeni. Chama. Waondoke ni wasaliti wa chama.

  • SADI H
   SADI H 2 months ago

   Wale wote vijana waliopiga goli la mkono wakati wa uchaguzi mkuu uliopita, hii ndio kafara, watoke wasidhani wao ndio CCM, ujumbe huu unawahusu Nape, Mwigilu, Makamba........
   ...

  • Boniface Msemembo
   Boniface Msemembo 2 months ago

   Bashe ni mkweli hapepesi macho kama mbaya atasema mbaya kama safi atasema safi, akikosa anatoa na ushauri Bashe Magufuli namba 2

 • George Angyelile
  George Angyelile 2 months ago +5

  Aisee taarifa ya uteuzi wa bashe imesimamisha kazi hapa jijini petu London. Huyu bwana uteuzi wake ulikuwa unasubiriwa kwa mda mrefu sana.

 • Dula Shoko
  Dula Shoko 2 months ago

  KWA bashe safi

 • eddiexjr1
  eddiexjr1 2 months ago +8

  Bashe ..It's time to walk the talk

 • eddiexjr1
  eddiexjr1 2 months ago +3

  Thank God ....Bashe this is long waited . Piga kazi kaka

 • happy mushi
  happy mushi 2 months ago +4

  Bashe usifike huko ukabadilika baki na mcmamo wako tu.

 • Rahim Doto
  Rahim Doto 2 months ago

  Iko kazi kipindi hiki

 • Tobias Manyinyi
  Tobias Manyinyi 2 months ago +3

  Bashe uko poa sana. Ila kasoro yangu ndogo kwako ni moja tu!! "Nusura tukulaani pale pale ulipokaribia kutuingiza mkenge kwenye mambo ya mifuko ya hifadhi!!!!!!"

 • Colletha Zamuna
  Colletha Zamuna 2 months ago +4

  bashe uko vizuri lakini uzuri wako nahisi ndo basi tena chezea siasa za bongo

 • Musa Dosa
  Musa Dosa 2 months ago +4

  kutoka Uganda bashe yuko vzr

 • Emmanuel Bonifase
  Emmanuel Bonifase 2 months ago +3

  Tishaa jpm

 • Mudy Muzungu
  Mudy Muzungu 2 months ago +1

  Big. Up Rais

 • Kabuga Shija
  Kabuga Shija 2 months ago +7

  Bashe ww ni zaidi ya Jafo sasa onyesha na usivimbe Mzee

 • John Mwambungu
  John Mwambungu 2 months ago +5

  Inapendeza, January alikuwa Mzigo hakuwa na lolote...lakini wateuliwa pia chapeni kazi hii ni serikali ya kazi...serikali za story zimepita hii ya sasa ni haki kwa haki...Big up our Excellency president Magufuli!

 • Plujori Lugano
  Plujori Lugano 2 months ago +5

  Mh. Bashe hongera Sasa wizara hii inakutegemea kwa vitendo

  • Benosi Laban
   Benosi Laban 2 months ago

   Hongera Sana bashe nakuamini Sana kwa utumishi wako

 • Husseni miraji
  Husseni miraji 2 months ago

  Mzee Makamba mwanao Hana cheo tena sasa utachana tena mistari ya biblia pamoja na Quaran? Mzee unafiki ulikuzidi kwawapinzani mpaka kwenye chama chako.mlijua mnawashughulikia wapinzani sasa mmeanza kumalizana nyinyi

 • Protect from Evil beings

  Tumbuuu...

 • Hassan Bazi
  Hassan Bazi 2 months ago +3

  Allha atuongoze njia wa 🇹🇿na raisi wetu amin

 • hamisi kapaku
  hamisi kapaku 2 months ago +2

  January we we nijembe la kiangazi na masika " unalima popote hekima na busara ndio inayo kuongoza hongera sana "

 • Husseni miraji
  Husseni miraji 2 months ago +3

  January Makamba wewe ndiye uliyeiba kura za urais kupitia Chadema ukajua maisha umeyaweza sasa Leo Mungu amekuonesha wewe na baba yako kuwa mwenye cheo atabaki Mungu pekee take tu

 • Hassan Gomai
  Hassan Gomai 2 months ago +1

  kutoka lebanoni ccm mbele kwa mbele

 • Andrew Izdory
  Andrew Izdory 2 months ago +6

  Bashe ni jembe.

 • Jo joe Kiza
  Jo joe Kiza 2 months ago +1

  Unajua tumekusapoti myaka mingi sana umetuhangusha sana kaombe msama hata kwa fans wako.

 • Jo joe Kiza
  Jo joe Kiza 2 months ago +5

  January M tatizo amefuata wasitafu akasahau kazi yake. Pole ww ungepigana kama kizazi kipya tungekuunga mkono we love u but 👋 👋. Kajikosowe urudi kama ww. Forget old people but care them.

 • Jonas Kilomba
  Jonas Kilomba 2 months ago +7

  Kwa Bashe Rais nakushukuru Sana

 • Clement Mwaitebele
  Clement Mwaitebele 2 months ago +7

  Big up Rais kwa kumteuwa Mh. Bashe. Bashe yuko vizuri sana kichwani

  • Yassin Suleiman
   Yassin Suleiman 2 months ago

   Clement Mwaitebele hapa kwa bashe hajakosea kabisaaa kilimo sasa kinarudisha heshima yake

  • Saidi Mhina
   Saidi Mhina 2 months ago

   Bashe sawa ila du mgosi mpiga kazi saaaaaan. Pumzika brother

 • Dickson Samwel
  Dickson Samwel 2 months ago +5

  Bashe nakukubabli Sana

 • Frank Skawa Frank Skawa
  Frank Skawa Frank Skawa 2 months ago +2

  Kutoka Oman: CCM Mbele Kwa Mbele Daina

 • Paul kisatu Lusana
  Paul kisatu Lusana 2 months ago +6

  Bashe ni Jembee
  Magufuri oyee

 • MASWALI na MAJIBU
  MASWALI na MAJIBU 2 months ago +1

  Bashe piga kazi

 • Temkeza TV
  Temkeza TV 2 months ago +6

  Bashe atafika mbali sana

 • Balangi Gitima
  Balangi Gitima 2 months ago +1

  Never give up @jmakmb God is up ur side ,soon the Babylon town shall fall down .......

 • Ben Mbwele
  Ben Mbwele 2 months ago

  Safi....!

 • Erode Shayo
  Erode Shayo 2 months ago +9

  Mzee emifurahisha sana hapa kwa bashe

 • Edwin Mbunda
  Edwin Mbunda 2 months ago +9

  Hussein Bashe safiiiii

 • joshua makaranga
  joshua makaranga 2 months ago +7

  Kwa Bashe tz itasonga sana

 • Credy Chipungahelo
  Credy Chipungahelo 2 months ago +1

  Hahah mh mb January makamba shukuru sana maana uliachwa muda mrrfu sana kwa sababu Tu mmoja ya akili lakini kiutendaji ulikuwa chini ya 69% ya majukumu hata hivyo tunashukuru kwa kuondoa mifuko ya rambo lakini hilo usivimbe kichwa kujisifia binafsi niliitaji uondolewe mapema maana taasisi ya mazingira hipo ktk hali mbaya hata mazingira ulikuwa kimya haya miji kuwa michafu na kuwafanya maofisa wa kata na mitaa kuatarehe mmmmmhhhhh

 • Kuya Mbogoma
  Kuya Mbogoma 2 months ago +3

  Hapa kazi tu

 • Saumu Ally
  Saumu Ally 2 months ago +2

  Hapa kazi tuu

 • Christopher Jimmy
  Christopher Jimmy 2 months ago +6

  Walidhan ccm in yao sasa wataisoma namba