EXCLUSIVE: JENNIFER MGENDI NDANI YA SOUL FOOD | GLOBAL RADIO

Share
Embed
 • EXCLUSIVE: JENNIFER MGENDI NDANI YA SOUL FOOD | GLOBAL RADIO
  Katika kipindi cha Soul Food cha Global Radio, Jumapili ya leo ya Januari 26, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi, amepiga stori na kuzungumzia ukimya wake kwenye muziki..
  UNA HABARI? WASILIANA NASI GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
  ( +255 676 229628)
  TUSIKILIZE LIVE:
  ndstream.net/globalradio/
  TEMBELEA WEBSITE YETU:
  globalradio.co.tz/

Comments • 14

 • sijaona simon
  sijaona simon 19 days ago +1

  Dada hongera kwa huduma nzuri. Ubarikiwe sana

 • Hunadk Bismoab
  Hunadk Bismoab Month ago

  How many kids she have ?

 • Evelyn John
  Evelyn John Month ago

  Hongera Kwa kaz ya BWANA Dada Jenifer. Je wewe ni kabila gani?

 • Janet ameene Mbabazi
  Janet ameene Mbabazi 2 months ago

  Dada nafurahi kukuona leo 🙏🙏😊❤❤❤ Niko swideni nyimbo zakozote zinapendeza sana.

 • Josephine Songolo
  Josephine Songolo 2 months ago +3

  Mungu akubariki dada Jennifer tuna agalia kutoka America ubarikiwe sana

 • Cathereen Exzavery
  Cathereen Exzavery 2 months ago +1

  Mama asiye zeeka,mwenye sauti tamu yakusisimua.Mungu akupe maisha marefu zaidi

 • Edith Ayouma
  Edith Ayouma 2 months ago +2

  Mungu akubariki mama, tunakupenda sana🇰🇪🇰🇪

 • NADEEN ALBORNDE
  NADEEN ALBORNDE 2 months ago +2

  Asateeeeee saaaan grobotiv💃💃💃💃👏👏👏👏💓💖

 • Shabani Adam
  Shabani Adam 2 months ago +3

  Ubarikiwe sanaa mamy yangu uzidi kubarikiwa wallah mungu akupe umri mrefu sanaa ili jamii izidi kupata faida kutoka kwako mamy yngu.

 • Hekima Sanga
  Hekima Sanga 2 months ago +2

  Huduma yako ni njema sana Mtumishi.

 • Diana njerengo
  Diana njerengo 2 months ago +2

  Dada Barikiwa sana kwel huduma yako ni njema

 • Umirambe Amadi Uketi SFI C Björkhagsskolan

  Abari asanti sana kuleta jenifa ana pendeza. Miye niko Swiden

 • Alex Kyai
  Alex Kyai 2 months ago +3

  Mbona uzeeki mkongwe jenifa nakupenda Sana sana

 • Beauty Ibrahim
  Beauty Ibrahim 2 months ago +3

  Hazeeki kabisa kah tunazeekq tunamuqchaa