BM TV TANZANIA
BM TV TANZANIA
 • 2 096
 • 16 582 188

Video

Comments

 • mbwana rajab hussein

  Aende salaama kabisaa,kwn yeye ni mchezaji naamin Simba ndio inaimarka...hata JPM anabadilisha viongozi mbalimbali ili kuleta ufanis mzur zaidi....GOOD BY

 • Ramadhan Sesala
  Ramadhan Sesala 3 hours ago

  We kocha kichupi huna jipyaa Mtalalamika mpakaaa

 • Al Lec
  Al Lec 3 hours ago

  Humu hamna Kocha.....Kaziteka na kuziiba akili za wanayanga....itachukua muda kumgundua.....Tatizo sio wachezaji tatizo ni mbinu walizofundishwa ili wafunge magoli....hili ndio tatizo. Forward ya Yanga ni nzuri ila tatizo ni namna wanavyofundishwa ili wapate mabao hiyo ndio shida.....ukitaka kujua mpeni Patrick Aussems forward hii hii uone kama hawatafunga?

 • Abdallah Arab
  Abdallah Arab 3 hours ago

  Zahera amna kocha

 • Jackson Mofulu
  Jackson Mofulu 4 hours ago

  Hakuna pa kupiga dili tena achape zake mwendo amfuate Kilomon wake huko Simba inasonga mbele

 • max maizer
  max maizer 10 hours ago

  Ndio ukubali refa alikuwa upande wa 🐸 sasa ngj kulle kwao nawao wkaone moto

 • nemes david
  nemes david 10 hours ago

  Zahera sio fara anacho ongea ni sahihi wachezaji awatambuhi nn zaidi wanatakiwa wakifanye wanauwezo wa kushinda magori mengi sana hata wakiwa ugenini wachezaji wako vizuri hila wanacheza kama sio mashindano makubwa wanapiga mpira pasi fupi wakati kumilik mipira na nafasi nyingi awazi tumii kabisa ndio shida hila wangekuwa wanaenda fasta kama Mpira wa ngasa wanauwezo wa kushinda mengi sana tena sana

 • Adam Kasase
  Adam Kasase 11 hours ago

  Aondoke tu. Hata hivyo kachelewa.yeye ndo chanzo cha simba kitolewa na ud songo. Mwacheni abebe msalaba wake

 • Tatu Nyambala
  Tatu Nyambala 12 hours ago

  Huyu mzee fala sana

 • hassani kasim
  hassani kasim 12 hours ago

  Ahaaaa refa vp huyo kidiaba wa zesco

 • Mor Lov zeboy
  Mor Lov zeboy 12 hours ago

  Fuck u bch refa

 • Aman Setembo
  Aman Setembo 13 hours ago

  Huyo dada kwel nimwanasimba anaongea kwa comfidenc sana

 • Suleiman Alawy
  Suleiman Alawy 13 hours ago

  Refa kakosea sana

 • Mina side
  Mina side 13 hours ago

  Wameondoka na faida

 • Salvatory Mogesi
  Salvatory Mogesi 13 hours ago

  Uwezo wenu ni huo kocha. Usiwalaumu wachezaji huku nje kisa tu hawapo, Mbona hukuwambia waendelee ku-press zaidi sasa au hukuwepo uwanjani?

 • Frank Shihulya
  Frank Shihulya 14 hours ago

  sanaa

 • Siwema Mahenge
  Siwema Mahenge 14 hours ago

  Amewaumiza sana hawa kuku, na nibola sana mana wangesumbua sana huku mtaani

  • Zaina Safari
   Zaina Safari 11 hours ago

   Sana yani katusuuza nyoyoπŸ˜‚πŸ˜‚

 • Salim Mustapha
  Salim Mustapha 14 hours ago

  Marefa wa afrika bado sanaa

 • Oliva Kyando
  Oliva Kyando 14 hours ago

  Mwache afurai

 • Angel Maganga
  Angel Maganga 14 hours ago

  kalewa hyo refa

 • Peter VeVo
  Peter VeVo 14 hours ago

  πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

 • sikandar suleiman
  sikandar suleiman 14 hours ago

  Huyu refa nae mbona anamuonea kipa kwa furaha yake

 • Siwema Mahenge
  Siwema Mahenge 14 hours ago

  Kwanza mashabiki walikuwa wachache sana

 • Mustapher Mussa
  Mustapher Mussa 15 hours ago

  Record ya nn yakuvaa vinjunga ivyo

 • Siwema Mahenge
  Siwema Mahenge 18 hours ago

  Leo hajaweka mke

 • de chaggagirl
  de chaggagirl 18 hours ago

  Munakula nyingi Leo πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

 • itikisael mangusha
  itikisael mangusha 18 hours ago

  Zesco sio watu wazuri sana

 • Sulley Junior
  Sulley Junior 19 hours ago

  Uzalendo ndo mnyama gani huyooh ????? Yanga hata icheze na mawe ntashabkia mawe....

 • Neco Star_Tz
  Neco Star_Tz 19 hours ago

  Kama umemuona check Chen gonga like

 • Idrisa Mwinyi
  Idrisa Mwinyi 19 hours ago

  Acha waende ndio wachawi wyenyewe walijua Kuna kupiga dili

 • Jack Emanuel
  Jack Emanuel 19 hours ago

  pamoja Sana ssc

 • Philipo James
  Philipo James 19 hours ago

  Simba nguvu moja

 • Agustino Mbilo
  Agustino Mbilo 20 hours ago

  itapendeza zaid

 • rafour samiol
  rafour samiol 20 hours ago

  Yana ukwl hayo?

 • keffa jacob
  keffa jacob 20 hours ago

  mtobia mtumbwi huyo atuache tusafiri salama...WAP Mzee dalali

  • Adam Kasase
   Adam Kasase 11 hours ago

   Bora alivyoondoka maana yeye ndo chanzo cha simba kufungwa na ud songo

 • Joseph Konney
  Joseph Konney 20 hours ago

  Aende salama

 • keffa jacob
  keffa jacob 20 hours ago

  Aende akaombe kazi Gwambina/Namungo...

 • Jitias Ngwete
  Jitias Ngwete 21 hour ago

  Watajiuzulu sanaaa

 • Imamu She chambo
  Imamu She chambo 22 hours ago

  Simba inatisha

 • Jack Emanuel
  Jack Emanuel 23 hours ago

  asante mungu kwa kutujalia ushindi siku ya Jana dhidi ya mtibwa sugar najua sio kwa uwezo wetu bali ni kwa uwezo wako mungu wa mbinguni naomba utusaidie simba tuendelee kushinda mechi nyingi zaidi kadiri ya mapenzi yako mungu asante tunaomba utusadie simba tuweze kuchukua ubingwa wa ligi kuu

 • sule yahya sule
  sule yahya sule 23 hours ago

  mpaka donian duuuh

 • Jack Emanuel
  Jack Emanuel Day ago

  kila lakheri zesco united mungu awajalie mupate ushindi dhidi ya yanga

 • kisesa sumso
  kisesa sumso Day ago

  kwa staili hii ushindi wetu wana yanga

 • Jack Emanuel
  Jack Emanuel Day ago

  kila lakheri zesco united mungu awajalie ushindi dhidi ya yanga

 • omari mwigula
  omari mwigula Day ago

  Ingieni na vichupi mtakutana na mchina awafanyie kitu mbaya

 • Jamali Mlenge
  Jamali Mlenge Day ago

  😲😲

 • alex jeremia
  alex jeremia Day ago

  NguvuMoja

 • Sharifu Juma
  Sharifu Juma Day ago

  Manson

 • Hussein Makame

  Mpaka mchina douuh hhhhhhh

 • Isdor Chuvu
  Isdor Chuvu Day ago

  Mbona vipo karibu na majukwaa yatakaaje sasa

 • Olais Lukumay
  Olais Lukumay Day ago

  Nimemwona ndugu yake son

 • Jechonia Festo

  Wamefata mke wao

 • Geraldi Kalinga

  Hapo mbona hakuna team ha wako serious na metch yanga jipigieni haoo

 • Abuu Mpaya
  Abuu Mpaya Day ago

  njooni mtupigie 🐸

 • Mudy Telela
  Mudy Telela Day ago

  Wachina nampira wapinawapi kareti watamwachia nani

 • Mudy Telela
  Mudy Telela Day ago

  Akinakanjoronga

 • Shirazi Ramadhani

  Ndo mtawajua kama wamekuja kumpiga mtu au kwenye jarati

 • Tamimu Hassani

  Ivi wamekuja kwenye mashindano ya kareti au ya mpira sielewi eti

 • Willson Webb
  Willson Webb Day ago

  Duh uyu milaji anatixha

 • Ally Mwabawa
  Ally Mwabawa Day ago

  cy "tayali" mwandishi ni tayari

 • Faraja Luvanda

  Kama na wewe umemuona jet Lee gonga like hapa twende sawa.

  • Faraja Luvanda
   Faraja Luvanda 20 hours ago

   @Mutalemwa Gabriel hatari fire leo mpaka miguu ya kwenye koromeo itakuwepo kudadadeki

  • Philipo James
   Philipo James 22 hours ago

   🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

  • Mutalemwa Gabriel
   Mutalemwa Gabriel 23 hours ago

   πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hata mm nimekuonaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 • Pius Emanuel
  Pius Emanuel Day ago

  Kuna jac chain uko

 • Pascal Pembamoto

  Mtapata shida sana ,lazima utengeneze wafungaji makini na wenye kasi zaidi vinginevyo itakuwa ni maneno tu.

 • Yunus Mchalu
  Yunus Mchalu Day ago

  KOCHA alikuwa meck mexime kiboko ya makocha wa kigeni ww haunaj jipya zaidi ya USIMBA mjinga wee na tangu ameondoka meck hakunaa tena vipaji zaidi ya matapishi tu

  • Ahmed said
   Ahmed said 19 hours ago

   Ukisema hakuna vipaji mtibwa nitakushangaa sana asilimia kubwa timu ya mtibwa imepandisha watoto wa kikosi B hasa ni wale walichukua kombe

  • Tanzania kwanza Maadili
   Tanzania kwanza Maadili Day ago

   Chura acha kajroho!!!!!!!

  • very funny
   very funny Day ago

   Tukutane kesho Kwa mchina. Tuone taifa linavyotiwa aibu na vyura

 • Vicent Mditi
  Vicent Mditi Day ago

  Wewe bonta aliyekwambia simba ina pengo la Okwi nani? Yanga ndo bado mzimu wa makambo, ajibu ninja, gadiel, kamusoko, tambwe unawasumbua

 • Bonta.m Lee
  Bonta.m Lee Day ago

  PENGO LA OKWII,LITAZIBIKA KAMA TUTAPATA WACHEZAJI KAMA KEMPTENI WA UDISONGO AU YAKUBU WA COTOCO AU WINGA WA ZIMBABWE ZAIDI YA HAPO TUTADANGANYANA TU.

 • Bonta.m Lee
  Bonta.m Lee Day ago

  AJIBU AZOWESHWE KIKOSI CHA KWANZA NA PIA AWACHIWE HURU, ACHEZE AWEZAVYO ILA AWE MAKINI ASIPOTEZE MPIRA.

 • Felix Muzambele

  Ok together uje tumshangilie Adrian Chota Chama.

 • Thomas Dunde
  Thomas Dunde Day ago

  Kagereeeeeeeee

 • Dizo Classic
  Dizo Classic Day ago

  Wa Kwanza Ku comment Liiiiiz I sea youπŸ’ͺπŸ’ͺ

 • Khadija Khadija

  🀣🀣🀣🀭

 • MW.PAULO LAIZER

  Sure

 • Carlous Mbalazi

  mzee unchebe uko vzr

 • Carlous Mbalazi

  mzee unchebe uko vzr

 • Angel Maganga
  Angel Maganga Day ago

  mungu awatangulie wapendwa

 • najma gudeh
  najma gudeh Day ago

  Kila la kher simba yangu

 • benjamin omary

  Yes zesco together we move we simba fans we are here for you we believe in you by tomorrow

  • Ally Chongowe
   Ally Chongowe Day ago

   young Africans are going to shade tears tomorrow

 • Jasoni Mwijage

  Kiukweli mnajitaidi sana kutupatia habari za club ya simba ongereni sana BMtv

 • kennedy TV
  kennedy TV Day ago

  Simba Simba Simba ! Tumenunuwa wenyewe Yanga mmepewa viwanja na Karume na Makonde .Kama unabisha Jifanye unajikuna!

 • Chilled palangale

  Aiseee.pongez kwa bos wetu wa simba.tajili kijana Mohammed guram dewij

 • Abdallah Rashid
  Abdallah Rashid 2 days ago

  BM TV MKO JUU KWA HABARI NZULII NAWAKUBALII kutoka mbeya songwe viwandani

 • Christian Christian

  Asante bm tv simba nguvu moja

 • Hamis Juma
  Hamis Juma 2 days ago

  MO simba juuuuuuu iga ufe

 • Fadhili Chawemba
  Fadhili Chawemba 2 days ago

  pamoja sana bmtv

 • Jack Jehovanisee
  Jack Jehovanisee 2 days ago

  Kazi nzur

 • najma gudeh
  najma gudeh 2 days ago

  Woow green imekubali iyo

 • Sultan Hamad
  Sultan Hamad 2 days ago

  Mimi naona bado waache kwanza majani yakomae ili yaweze kudondosha mbegu baada yahapo ndio waandae kwaajili yamazoezi

 • najma gudeh
  najma gudeh 2 days ago

  This is simbaaa

 • Mbotwa Mbotwa
  Mbotwa Mbotwa 2 days ago

  Barikiwa sana

 • Mikap Mwalimu
  Mikap Mwalimu 2 days ago

  IGA UFE this is next lever

 • Alka Yousif
  Alka Yousif 2 days ago

  Ψ¨Ψ§Ω„ΨͺΩˆΩΩŠΩ‚ Ψ­Ψ¨ΩŠΨ¨Ω†Ψ§ شيبوب πŸ–€

 • Justin Silvester
  Justin Silvester 2 days ago

  Iko njema sana

 • Kassim Rashid
  Kassim Rashid 2 days ago

  simba yetu nguvu moja

 • Hamadi Bausi
  Hamadi Bausi 2 days ago

  Asanten sn BMtv kwa taarifa mnazo tupatia wanasimba tulokuepo mikoani.

 • Thadeo JThadayTZ
  Thadeo JThadayTZ 2 days ago

  Next level

 • Siwema Mahenge
  Siwema Mahenge 2 days ago

  Hii ni net leval, hawana jipya hapo, wameiga simba day lakini hapa wakiiga wanakufa kama wameshindwa kumlipa Dante mpaka leo

 • Juma Mtambo
  Juma Mtambo 2 days ago

  Sauti work on it, kazi nzuri

 • Solver Man
  Solver Man 2 days ago

  sijaelewa hivi viwanja vitajengewa kwa maana sehemu ya kukaa mashabiki (seats) au vitakuwa hivyohivyo tu kwa ajili ya mazoezi tu maana naona nafasi ni ndogo kati ya uwanja wa nyasi bandia na uwanja wa nyasi asili

  • Baraka Mgimwa
   Baraka Mgimwa Day ago

   Hiv ni kwa ajili ya mazoez tu, uwanja wa mechi utafata baadae.. Sababu gharama za kufanyia mazoesz gymkhana ni ghali sana,, tunaanza kusave kwanza hizo pesa then baade utajengwa mkubwa.. Mkubwa mungu

  • Solver Man
   Solver Man 2 days ago

   monkeyz audit nafasi naona wameagamisha viwanja vyote viwili

  • monkeyz audit
   monkeyz audit 2 days ago

   Hekari kumi 25 kaka c mchezo apo c majukwa 2u mengi mazuri yaja

 • Matesta Abdalla
  Matesta Abdalla 2 days ago

  πŸ‘πŸ‘πŸ‘

 • MuddY DamdeOk
  MuddY DamdeOk 2 days ago

  ###Good Job *Bmtv* Respect πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ