Aslay
Aslay
 • 87
 • 102 117 937

Video

ASLAY- Nichombeze
Views 1.1M5 months ago
ASLAY IN TANGA - LIKIZO.
Views 12K10 months ago
ASLAY IN TANGA
Views 6K10 months ago
PARTY 7
Views 3.3KYear ago
PARTY 6
Views 4.3KYear ago
PARTY 1 TOTA
Views 937Year ago
PARTY5
Views 1.2KYear ago
Aslay LIVE @ Komaa Concert
Views 67K2 years ago

Comments

 • irene kithojoh
  irene kithojoh 2 hours ago

  duu yani natamani niichoke h ngoma lkn nashindwaa ety..nisaidieni

 • futbal genie
  futbal genie 2 hours ago

  All the way toka Addis Ababa,twaielewa pia...ngoma tamu

 • Lulu Willams
  Lulu Willams 3 hours ago

  My heart beat wamekutana kufanaya mambow ...

 • Emily Owuor
  Emily Owuor 5 hours ago

  Wow! I love this young boy ❤️❤️❤️

 • Wycliffe Musyoka
  Wycliffe Musyoka 6 hours ago

  Pressing rewind in Nairobi Kenya. Nimekubali

 • Khalifan Saidi
  Khalifan Saidi 6 hours ago

  Wanga wanasubr waone unaviyo nimwaga

 • Khalifan Saidi
  Khalifan Saidi 6 hours ago

  Nice

 • JOHN PAUL
  JOHN PAUL 6 hours ago

  Ngoma kali sana wale wote wa SEPTEMBER 2019. Nione like zenu hapa

 • Baraka Goodluck
  Baraka Goodluck 7 hours ago

  It's good

 • Peter Mutuku
  Peter Mutuku 9 hours ago

  Sometimes you fill lonely more especially when listening "koko" song "koko song

 • artemis neoy
  artemis neoy 10 hours ago

  Bado goma kaliiii

 • Belindah Odhiambo
  Belindah Odhiambo 13 hours ago

  Napenda ngoma taratibu kama hizi zenye hazianiki uchi ya bedroom. 254 hapa

 • Abdi Dubow
  Abdi Dubow 14 hours ago

  King of east Africa

 • Abdi Dubow
  Abdi Dubow 14 hours ago

  Kiba unatesa mansha allah

 • Furaha Bolenge
  Furaha Bolenge 15 hours ago

  Kanyimbo kazur nakapend sana aslay wow

 • Furaha Bolenge
  Furaha Bolenge 16 hours ago

  Upo juu kaka penda weye xna

 • Furaha Bolenge
  Furaha Bolenge 16 hours ago

  Kama unamkumbal asley gonga like Apo twende sawa upo juu dg asley big up

 • Furaha Bolenge
  Furaha Bolenge 16 hours ago

  Nakupenda bure asley Duhuu unaniachaga hoi na nyimbo zako big up alikiba utabaki kua juu Miye penda weye sana gonga like Yako Apo twende sawa

 • Eugy Tech
  Eugy Tech 18 hours ago

  Eugy Eugene

 • Eugy Tech
  Eugy Tech 18 hours ago

  Eugene following am a die hard fun

 • Boomer Alex
  Boomer Alex 21 hour ago

  My guy

 • miriam andayi
  miriam andayi 21 hour ago

  Sep ,22 2019 wamlambez yeyote?

 • miriam andayi
  miriam andayi 22 hours ago

  Anyone sep 20 2019

 • Wekesa Amos
  Wekesa Amos 22 hours ago

  Kweli hapa Kenya twakupenda saaaaana!!???

 • Taus hamadi
  Taus hamadi Day ago

  Nimeipenda💃💃

 • GODFREY MWOMBE

  Alady dumped for another man so i always listen to this song everyday!

 • GEOFREY WAMBUA

  Wakenya mpoo❤ I support this gentleman,,,,

 • martha mueni
  martha mueni Day ago

  Love the song

 • Vaileth Joseph

  Jaman wadada nyie mbn mnatuzalilisha na hayo mavazi mnayovaa. Mbn wanaume mnaoshuti nao wenyewe wamevaa vizuri. Hawaja vaa nusu uchi.

 • lulu mbowe
  lulu mbowe Day ago

  Good

 • dullakhan___ Tz

  Kaz ipo

 • Leonida Kimutai

  Kenyans tujuane kwa likes hapa 2019

 • Nana Nana
  Nana Nana Day ago

  Walio unlike ni wachawi

 • Born Biafran
  Born Biafran Day ago

  Am Nigerian but many Kenyans both my Kenyan 🇰🇪 wife to be always say I look like Aslay... Representing Nigeria 🇳🇬... big up My African bro, all d way from UAE 🇦🇪

 • Fatma Salim
  Fatma Salim Day ago

  Mashaallah

 • Hawa Mwajuma Hayat

  Hivi ndio sasa nimeanzakupendwa ,wakati huu wimbo ilitoka sikua n mtu nimeweka moyoni kama Sasa🤗🤗❤️❤️❤️🇰🇪

 • nahra cassim
  nahra cassim Day ago

  iko bombaa babaa

 • Benard Godfrey
  Benard Godfrey 2 days ago

  Natamani xn kuja kufanya kazi naww lakin sema ndo hvy nyota tyuu Ila nakubal xn kipaji chako

 • Kaka Romeo
  Kaka Romeo 2 days ago

  iki kijimbo kila napo kiskiza kama kipya kimeachiwa Leo ili litoto lenyewe linaimba adi sisimizi li kubwa lake sasa sauti lake kama litoto lichanga,bembea etc

 • Juma Jk
  Juma Jk 2 days ago

  Mambo Ni Fire

 • Asira Joshua
  Asira Joshua 2 days ago

  💥💛💛💛

 • Joseph Daud
  Joseph Daud 2 days ago

  Qaliiiii

 • machum Zacharia
  machum Zacharia 2 days ago

  amazing song

 • Eduu Boy
  Eduu Boy 2 days ago

  Niambie tuwakomeshe🔥🔥

 • Eddy Mwalagho
  Eddy Mwalagho 2 days ago

  Nausikiliza mara mbili mbili... Ni kazi safi....

 • Mzebane976
  Mzebane976 2 days ago

  WoW , that modele , maskini roho

 • Eduu Boy
  Eduu Boy 2 days ago

  Wapi unawaumizaga

 • juma eliashop
  juma eliashop 2 days ago

  Uko poa kijina

 • Eduu Boy
  Eduu Boy 2 days ago

  🔥🔥🔥🔥🔥

 • Rojaz Kabaga
  Rojaz Kabaga 2 days ago

  king kiba fundi ayo maxauti kama yote.

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 2 days ago

   Rojaz Kabaga 🔥🔥

 • Vinomah Classic
  Vinomah Classic 2 days ago

  Finally my long-term prayer has been answered, my favorite artists wish mngeongezea barnaba classic

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 2 days ago

   Vinomah Classic 🔥🔥

 • Hella Credis
  Hella Credis 2 days ago

  Very very very, nice,,,,yeeee babaaaa

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 2 days ago

   Hella Credis 🔥🔥

 • Robert Ouma
  Robert Ouma 2 days ago

  My two favorite artiste's from 255,tafuteni JUX pia namkubali

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 2 days ago

   Robert Ouma 🔥🔥

 • Eliza Edward
  Eliza Edward 2 days ago

  Nyimbo nzuri sana hii

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 2 days ago

   Eliza Edward 🔥🔥🔥

 • musa nike
  musa nike 2 days ago

  Sambamba.... msela

 • Ester Gerard
  Ester Gerard 2 days ago

  Yani sichoki kuangaoi hii ngoma

 • Chris Kangayia
  Chris Kangayia 2 days ago

  16/09/2019

 • PRINCE KASSIM
  PRINCE KASSIM 2 days ago

  #KingKibaaaa 🔥 #4life

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 2 days ago

   PRINCE KASSIM 🔥🔥

 • Zahra mouhmud
  Zahra mouhmud 3 days ago

  Best song

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 2 days ago

   Zahra mouhmud 🔥🔥🔥

 • Jeronimo the jam
  Jeronimo the jam 3 days ago

  Maaaaaaamammmmmammmah Pole mtu wangu

 • Ally Jaribu
  Ally Jaribu 3 days ago

  good music kwa king

 • Amani One Day
  Amani One Day 3 days ago

  Nakubali

 • tony bia
  tony bia 3 days ago

  Sijaelewa bhado

 • Sumeyya Ali
  Sumeyya Ali 3 days ago

  lovely love song

 • laurent chimbirani
  laurent chimbirani 3 days ago

  Bonge moja la kolabo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑

 • Khadija Khamiss
  Khadija Khamiss 3 days ago

  Yaan mie kinanda tu kinanimalza 💞💞💞

 • Otieno Ogolla
  Otieno Ogolla 3 days ago

  Kaaaaaaaliiiiiiii.... Nice one

 • Munira Ahmed
  Munira Ahmed 3 days ago

  Hii ndo best collaboration kwa hapa Tanzania kwa mwaka 2019>2020

 • NAOMI NG'ANG'A
  NAOMI NG'ANG'A 3 days ago

  I wish angekuona mama i like to sing this song everyday yaani naonanga kama Aslay aliimba tu mimi

 • Nadhifu Mohamedi
  Nadhifu Mohamedi 3 days ago

  Bonge la ngoma

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 3 days ago

   Nadhifu Mohamedi 🔥🔥🔥

 • janet mulatya
  janet mulatya 4 days ago

  Aslay woyeee

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 3 days ago

   janet mulatya 🔥🔥🔥

 • Halimo Mohammed
  Halimo Mohammed 4 days ago

  Auwii nakufa

 • Husna Poly
  Husna Poly 4 days ago

  Wataelewa

 • joseph otieno
  joseph otieno 4 days ago

  wimbo huu unaniliwaza kweli Aslay. Mimi nilifiwa na mama nikiwa na miaka tisa. Kwa hivyo wimbo huu na-relate nayo kabisa kaka. Hongera kwa kazi nzuiri yenye ujumbe mzuri.

 • Sumayah Nansamba
  Sumayah Nansamba 4 days ago

  Very nice 💟💓👑👻

 • Lilian James
  Lilian James 4 days ago

  nice song

 • Lilian James
  Lilian James 4 days ago

  #Bembea ngoma nzuri sana

 • Eduu Boy
  Eduu Boy 4 days ago

  🔥🔥🔥🔥🔥

 • Andre Vd Heuvel
  Andre Vd Heuvel 4 days ago

  Uwiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

 • inverse del Cruise
  inverse del Cruise 4 days ago

  Raha sanaaa aisee, safi sanaaa, asley unajua hadi unakera, mfalme ndio habari ya mjini

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   inverse del Cruise 🔥🔥🔥

 • Saida Choti
  Saida Choti 4 days ago

  King 👑 has been admitted to the hospital.Doctor said his Vibe is So sick 🤕 Who else put king Verse on repeat 🔊🔊🔊 ❗️hit the button

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   Saida Choti 🔥🔥🔥

 • Cal's Kim
  Cal's Kim 4 days ago

  Kama ni shabiki wa mziki mzuri like za kutosha hapa 🔥🤙

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   Cal's Kim 🔥🔥🔥🔥

 • Y7arukia Prime
  Y7arukia Prime 4 days ago

  👌👌Penda

 • Suru star boy chidy boy

  Baba nimipokea kwa nidham zote bgp noma kwel

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   Suru star boy chidy boy 🔥🔥🔥🔥🔥

 • maulid mango
  maulid mango 4 days ago

  Kiba kaharibu nyimbo ya Dogo, Aslay hiyo nyimbo ulipaswa umshirikishe mboso ingebamba sana Kiba kaipoozesha sanaa

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   maulid mango 😂😂😂😂😂😂 Bro unakwama

 • Krybba banton
  Krybba banton 4 days ago

  Loving the song From Kampala

 • Heri Omar
  Heri Omar 4 days ago

  Wangapi wapo hapa kuzisaka hizo 2m

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   Heri Omar 🔥🔥🔥

 • youtube channel
  youtube channel 4 days ago

  Kiba shetani wa mahaba

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   youtube channel 🔥🔥

 • Millicent Mbuya
  Millicent Mbuya 4 days ago

  I like this boys

 • Beauty Scenerio
  Beauty Scenerio 4 days ago

  🔥🔥

 • Millicent Mbuya
  Millicent Mbuya 4 days ago

  Am. very down but asly songs make me up , wao I like

 • Lucy Mwangi
  Lucy Mwangi 4 days ago

  Its remain new lyk ni ya Jana. 👌👌👌

 • Side Boy
  Side Boy 4 days ago

  Fundi atabakia kua fundituu mm ndo maana napenda nakusaport mziki mzurituuu sina team wala nn maana uteam haunipihela wala furaha zaidi ya chuki zisizo faida kwangu achatu nisaport ngoma Kali ya msanii wowote yule uteam nawaachia wengine hongereni nyote kiba na aslay kwa ngoma kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ata msipo like poatuu ila ukweli ndo huoo

 • Neema Kabupa
  Neema Kabupa 5 days ago

  Nakukubali sana aslay jaman wallahi menyenzi mungu kakujalia kipaji ishallah utatoboa

 • Mara Abaz
  Mara Abaz 5 days ago

  Team Kiba ruclip.com/video/7OiJ4ecgzUU/video.html

 • Nathan Tv-bandit
  Nathan Tv-bandit 5 days ago

  Bembea🔥🔥🔥🔥

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   Nathan Tv-bandit 🔥🔥🔥

 • Nathan Tv-bandit
  Nathan Tv-bandit 5 days ago

  Bembea🔥🔥🔥🔥

  • Eduu Boy
   Eduu Boy 4 days ago

   Nathan Tv-bandit 🔥🔥🔥

 • Edger Mwambamba
  Edger Mwambamba 5 days ago

  #Yooooooooooooooooooohhhhhhhhh

 • 254
  254 5 days ago

  Kitu funny ni eti sijwahi ona msichana mwenye rangi nyeusi kwa video za watanzania, maybe they prefer light skin over dark skin 😥

 • Bahati Yussuphu
  Bahati Yussuphu 5 days ago

  Yooooooooooooooooooooooo